Detective J
JF-Expert Member
- Oct 17, 2016
- 30,742
- 56,070
Serikal iliyopo haipend ukweliTupaze sauti maana Mbunge anasimama anaongea pumba mwanzo, mwisho anakuja mwingine, anaomba mwongozo!Unadhani ana la Maana kumbe ni kumpigia debe mwenzake!Yaani wanapoteza muda na suti zao kuongea ujinga kabisa!Pr Assad aliwahi sema Bunge ni dhaifu! Ndugai akakasirika sana.Wakamnyofoa CAG wa watu Bunge hili kama ndio linapokuja mwaka huu!,Ni Hatari sana Hao wa kutiki waangalie wa kuchangia hata kama upo CCM,kwa dizaini hii CCM inajichimbia kaburi.Hata Bibi yangu marehemu hakwenda Shule Leo afufuke aone Bunge hili angeomba arudi kaburini!
Hatuwezi kwenda kwa kuwabWaongo, Ukweli na Uongo haviwezi kupata ni Mchana na Usiku!Serikal iliyopo haipend ukweli
Ndio watapita wa Bunge kama hili hadi 2030!bora ubaki na kura yako tu
ova
Kupiga kura haina maanaNdio watapita wa Bunge kama hili hadi 2030!
Mungu atunusuru!Kupiga kura haina maana
Kama boss akishasema,simtaki
Fulani huko kwenye kura utaenguliwa tu
Hilo bunge la ndiyooo ndiyo wanalolitengeneza na watazidi kujaza watu wenye upeo, ufahamu mdogo
Ili mambo,agenda zao zipite
Ova