Wewe unadhani Sabaya ni mjinga?!Sabaya kaongea mambo ambayo wala hayakupaswa kujua kama kweli alitumwa na mamlaka. Anamtaja Dkt. Mpango katika sakata lake hata kama anajua kilichompeleka Arusha au Moshi hayakuwa mambo ya kuweka hadharani kwa sasa huyo Mpango ni Rais siyo tena waziri. Asitafute huruma kama ni mission maalumu iishe kwa siri kama ilivyoanza.
Ukitumwa mission ya siri hata kama utakuwa unakufa itunze siri, Sabaya anaogopa kufungwa?
Ni wazi kabisa kwa mtililiko ule wa ushahidi uliotolewa na mashahidi wa upande wa mashtaka, ile kesi ilimlemea sabaya,
kwa vyovyote vile mawakili wa Sabaya waliona hawachomoki hapo ndipo wakaamua kumshauri aongee alichozungumza leo,
kwa namna nyingine Sabaya amekiri kwamba matukio yale aliyatenda ila kwa maelekezo kutoka kuu, kifuatacho na Rais Samia atatajwa
sasa tunasubiri DR Mpango na Gavana wa Benki muitwe mahakamani kutoa ushahidi,
Ahsanteni
View attachment 1891235
Ni mjinga kuanika mambo ya mamlaka hadharani. Kwa maana hiyo kila atakayefanya mambo kama ya Sabaya tutajua katumwa na mamlaka.Wewe unadhani Sabaya ni mjinga?!
Kwahiyo unakubali alitumwa na mamlaka?Ni mjinga kuanika mambo ya mamlaka hadharani. Kwa maana hiyo kila atakayefanya mambo kama ya Sabaya tutajua katumwa na mamlaka.
Kachafua mamlaka.
Hata marehemu anaweza kumkana.Ni mjinga kuanika mambo ya mamlaka hadharani. Kwa maana hiyo kila atakayefanya mambo kama ya Sabaya tutajua katumwa na mamlaka.
Kachafua mamlaka.
Huo ni uzwazwa mkuu , watu wamemrushia matusi ya kila aina humu tena wakifurah , huku Raisi Samia akishangiliwa kuwa anaupiga mwingi , unasema iwe Siri kivip chief, mamlaka zenyewe zilishindwa kutambua kuwa walimpa kazi maalumu mpak wakaamua kumdhalilisha vile na mwisho wa sku hakuna aliyekuwa anajali wote wapo na na vi 8 , aisee hata Mimi nawalipua...!!!inashangaza Sana mama Samia akiwa makamu wa Raisi anamfukuza kazi kijana na kumwacha adhalilike vile wakat huo ofsi yake ilihusika direct na ambacho kijana alifanya ,tulipiga kelele Sana humu kuwa sabaya asifamywe mbuzi wa kafara sababu alikuwa Hai Kwa kazi maalumu huku mwenyekiti wa CCM Maghufuli alitambua Hilo ndo mana tuhuma zake alipuuzia zilipokuwa zikipelekwa kwake ,leo hii ofsi hiyo hyo haijali kijana akiwa mahabusu ni ajabu Sana ...!!! Tulisema wazi kuwa aliyoyafanya sabaya ofisi ya Raisi inatakiwa kuwajibika , watu wakamwacha kijana ajifie ...!! Amefanya good move Sana kongole kwakeSabaya kaongea mambo ambayo wala hatukupaswa kujua kama kweli alitumwa na mamlaka. Anamtaja Dkt. Mpango katika sakata lake hata kama anajua kilichompeleka Arusha au Moshi hayakuwa mambo ya kuweka hadharani kwa sasa huyo Mpango ni Rais siyo tena waziri. Asitafute huruma kama ni mission maalumu iishe kwa siri kama ilivyoanza.
Ukitumwa mission ya siri hata kama utakuwa unakufa itunze siri, Sabaya anaogopa kufungwa?
Amefanya Vizuri sanaNi wazi kabisa kwa mtililiko ule wa ushahidi uliotolewa na mashahidi wa upande wa mashtaka, ile kesi ilimlemea sabaya,
kwa vyovyote vile mawakili wa Sabaya waliona hawachomoki hapo ndipo wakaamua kumshauri aongee alichozungumza leo,
kwa namna nyingine Sabaya amekiri kwamba matukio yale aliyatenda ila kwa maelekezo kutoka kuu, kifuatacho na Rais Samia atatajwa
sasa tunasubiri DR Mpango na Gavana wa Benki muitwe mahakamani kutoa ushahidi,
Ahsanteni
View attachment 1891235