Hata kama ungekua wewe ni Sabaya lazima ungejitetea alivyojitetea leo

Sabaya hakupita JKT.lijinga kabisa
 
Sikutarajia kama jamaa alivyo mwamba kumbe empty kiasi hicho.

Tokea lini ulijua Sabaya ni mwamba? Huoni ww ndio akili yako ilikudanganya? Jamani, akili si mmepewa na Mwenyezi Mungu, kwann hamtumii kufikiri vema? Mwanadamu yupi tokea dunia imeumbwa akawa Mwamba, yaani yeye ndio yeye, shujaa, au hafanywi kitu, yupi? Eid Amin kafa, Gadaffi kafa, Saddam kafa, Osama kafa, et al, who is mwamba? Ebu acheni IQ ndogo hivyo
 
Usitufananishe na huyo Zuzu.
Hapo unaona katoa ushahidi au kadhirisha ujinga wake. Ukitumwa na baba yako dukani kununua chumvi ukafika ukanunua na kwa utundu wako ukamwaga mafuta ya kula hapo dukani lawama zinakwenda kwa baba kwa vile kakutuma dukani?
 
Mnao jidai na hicho chama, yanawaingia haya au kunana kitu mnajifunza!?
 
Ukijiona akili nyingi sana jua huna kabisa.
Acha kutafuta likes kwa vitu vilivyokuzidi uwezo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…