OKW BOBAN SUNZU
Platinum Member
- Aug 24, 2011
- 53,868
- 121,001
Weka kwa kutumia common sense tu badala ya ushabiki. Au ndio wenye akili wawili tu?Bado hamjasema, mtasema tu.
Mkuu kwanini lawama unawatupia viongozi ilihali hakuna sehemu yeyote ambapo kiongozi wa Yanga akitoa kauli watu wakunje nguo au wavae nusu uchi. Bali nilichokisikia kauli iliyotolewa na msemaji wa Yanga ni kuwa siku ya Aziz Ki hivyo mashabiki waje na ufunguo. Haya mengine yanayofanyika ni kwa utashi wa mashabiki wenyewe. Laiti kama kuna kauli ilitolewa watu wakunje nguo au wavae nguo fupi basi hilo lingekuwa ni sahihi kupeleka lawama kwa viongozi.View attachment 2765855
Tunaelewa kuwa Yanga imejaa viongozi wahuni ambao hawaridhiki mpaka wafanye jambo la kihuni. Bahati mbaya watu smart nao hawana cha kusikilizwa zaidi ya kukenua meno tu.
Hata kama, lakini huku mnakoeleka sio sawa. Mnadhalilisha mashabiki wenu. Hii ya kulazimisha mashabiki waje nusu uchi uwanjani sio sawa. Ni mambo yanayothibitisha pia usemi kwamba wenye akili ni wawili tu. Haiwezekani timu nzima waona hili ni sawa.
Naamini humu JF hakuna shabiki anaweza kufanya hivi. Kama yupo weka picha yako. Je. Umeona picha ya kiongozi wa Yanga kufanya hivyo. Hakuna.
Sisi kazi yetu ni kuangalia vipaja vya kujaa jaa, hatutaki paja lenye vipeleBado hamjasema, mtasema tu.
Subirini kudesa tu kama hivi.Tunaelewa kuwa Yanga imejaa viongozi wahuni ambao hawaridhiki mpaka wafanye jambo la kihuni. Bahati mbaya watu smart nao hawana cha kusikilizwa zaidi ya kukenua meno tu.
Hata kama, lakini huku mnakoeleka sio sawa. Mnadhalilisha mashabiki wenu. Hii ya kulazimisha mashabiki waje nusu uchi uwanjani sio sawa. Ni mambo yanayothibitisha pia usemi kwamba wenye akili ni wawili tu. Haiwezekani timu nzima waona hili ni sawa.
Naamini humu JF hakuna shabiki anaweza kufanya hivi. Kama yupo weka picha yako. Je. Umeona picha ya kiongozi wa Yanga kufanya hivyo. Hakuna.
Wangekua wenye akili ni wawili msinge teseka hivi , mbaya zaidi ndio kwanza ms msimu una mechi 3 mwaka huu mtaongea kila sentesiWeka kwa kutumia common sense tu badala ya ushabiki. Au ndio wenye akili wawili tu?
Nenda kwa wenye akili ukawashauri waongeze mwawinga , kwenye majitu mapumbavu humu JF ni wewe na makamo wako Genta na Okw boban kifungashioNilipojua kuwa WENYE AKILI NI WAWILI TU MZEE KIKWETE NA MZEE MANARA.
Sitaki kabisa KUBISHANA nao, kuwafundisha Wala kuwaelekeza.
Kijana wao ALISEMA mgunda na andazi unachagua nini.........................
N I M A A T A A H I R A.
Nenda kwa wenye akili ukawashauri waongeze mwawinga , kwenye majitu mapumbavu humu JF ni wewe na makamo wako Genta na Okw boban kifungashio