Hata kama viongozi ni wahuni, huku mnakoelekea sio kuzuri

OKW BOBAN SUNZU

Platinum Member
Joined
Aug 24, 2011
Posts
53,868
Reaction score
121,001
Tunaelewa kuwa Yanga imejaa viongozi wahuni ambao hawaridhiki mpaka wafanye jambo la kihuni. Bahati mbaya watu smart nao hawana cha kusikilizwa zaidi ya kukenua meno tu.

Hata kama, lakini huku mnakoeleka sio sawa. Mnadhalilisha mashabiki wenu. Hii ya kulazimisha mashabiki waje nusu uchi uwanjani sio sawa. Ni mambo yanayothibitisha pia usemi kwamba wenye akili ni wawili tu. Haiwezekani timu nzima waona hili ni sawa.

Naamini humu JF hakuna shabiki anaweza kufanya hivi. Je. Umeona picha ya kiongozi wa Yanga kufanya hivyo. Hakuna.
 
1335b6a540a75efce984f0d779ae5dc5.jpg
 
Mashabiki wa hii timu wengi ni wahuni,ukitaka kujua chunguza siku ya mechi yao yoyote wakishinda,lazima wanawake wao wajitoe utupu wengine bure kabisa.

Hata walipokuwa wakienda Rwanda waliwaza ushindi na ngono.
Hiyo ni kawaida yao
 
Nilipojua kuwa WENYE AKILI NI WAWILI TU MZEE KIKWETE NA MZEE MANARA.

Sitaki kabisa KUBISHANA nao, kuwafundisha Wala kuwaelekeza.

Kijana wao ALISEMA mgunda na andazi unachagua nini.........................

N I M A A T A A H I R A.
 
View attachment 2765855
Tunaelewa kuwa Yanga imejaa viongozi wahuni ambao hawaridhiki mpaka wafanye jambo la kihuni. Bahati mbaya watu smart nao hawana cha kusikilizwa zaidi ya kukenua meno tu.

Hata kama, lakini huku mnakoeleka sio sawa. Mnadhalilisha mashabiki wenu. Hii ya kulazimisha mashabiki waje nusu uchi uwanjani sio sawa. Ni mambo yanayothibitisha pia usemi kwamba wenye akili ni wawili tu. Haiwezekani timu nzima waona hili ni sawa.

Naamini humu JF hakuna shabiki anaweza kufanya hivi. Kama yupo weka picha yako. Je. Umeona picha ya kiongozi wa Yanga kufanya hivyo. Hakuna.
Mkuu kwanini lawama unawatupia viongozi ilihali hakuna sehemu yeyote ambapo kiongozi wa Yanga akitoa kauli watu wakunje nguo au wavae nusu uchi. Bali nilichokisikia kauli iliyotolewa na msemaji wa Yanga ni kuwa siku ya Aziz Ki hivyo mashabiki waje na ufunguo. Haya mengine yanayofanyika ni kwa utashi wa mashabiki wenyewe. Laiti kama kuna kauli ilitolewa watu wakunje nguo au wavae nguo fupi basi hilo lingekuwa ni sahihi kupeleka lawama kwa viongozi.
Mapungufu ya mashabiki usiyapeleke kwa viongozi, na mchezo wa mpira wa miguu ni moja ya ulevi kwa baadhi ya watu
 
Tunaelewa kuwa Yanga imejaa viongozi wahuni ambao hawaridhiki mpaka wafanye jambo la kihuni. Bahati mbaya watu smart nao hawana cha kusikilizwa zaidi ya kukenua meno tu.

Hata kama, lakini huku mnakoeleka sio sawa. Mnadhalilisha mashabiki wenu. Hii ya kulazimisha mashabiki waje nusu uchi uwanjani sio sawa. Ni mambo yanayothibitisha pia usemi kwamba wenye akili ni wawili tu. Haiwezekani timu nzima waona hili ni sawa.

Naamini humu JF hakuna shabiki anaweza kufanya hivi. Kama yupo weka picha yako. Je. Umeona picha ya kiongozi wa Yanga kufanya hivyo. Hakuna.
Subirini kudesa tu kama hivi.

Mpaka mseme, hamjasema bado.
 
Attachments

  • images (3).jpeg
    images (3).jpeg
    49.1 KB · Views: 3
Mashabiki wa simba acheni kuteseka na mambo yasiyo wahusu. Hao mashabiki wakiamua kufanya hivyo, waache wafanye. Hiyo ndiyo furaha yao.

Mbona na nyinyi wakati wa tamasha lenu la simba day huwa mnafanya maigizo ya kujinyonga, kuingia uwanjani mkiwa kwenye majeneza, nk! Na tumekuwa tukiwashauri muache, lakini hamtaki?

Sasa kukunja bukta tu ndiyo iwe nongwa!!!
 
Nilipojua kuwa WENYE AKILI NI WAWILI TU MZEE KIKWETE NA MZEE MANARA.

Sitaki kabisa KUBISHANA nao, kuwafundisha Wala kuwaelekeza.

Kijana wao ALISEMA mgunda na andazi unachagua nini.........................

N I M A A T A A H I R A.
Nenda kwa wenye akili ukawashauri waongeze mwawinga , kwenye majitu mapumbavu humu JF ni wewe na makamo wako Genta na Okw boban kifungashio
 
Back
Top Bottom