Hata kama viongozi ni wahuni, huku mnakoelekea sio kuzuri

Ally Kamwe no sehemu ya viongozi, Tena ni msemaji rasmi wa yanga. Kama kauli ingetolewa na shabiki wa yanga au mtu yoyote asiyekuwepo kwenye uongozi tusingewalaumu.
Alisema vinjunga/vipensi
Sasa hapo uchi umetoka wapi
 
Pole sana! Kwa kuwa hujaielewa falsafa ya msemaje hajahamasisha hicho unachosema, labda Kama hujui maana ya KEY
 
we INAKUMA nn!!!waachie timu yao..
 
Aahaaa
 
Ila sema TIMU za kariakoo tabu Sana.

Siku ya MWANANCHI SIMBA wakaleta KIBEGI, KIBEGI kwa asilimia Fulani kikameza na kufifiza siku ya MWANANCHI.

Tangu hapo WANANCHI wakasema watalipa kisasi,.

Yanga kwenda Rwanda na Simba kwenda Uganda.

Safari ya YANGA Rwanda ikazima safari ya SIMBA Uganda asilimia kubwa watu walikuwa wanaijadili YANGA kuliko SIMBA.

Sasa mechi za Marudiano YANGA wametawala kwa kauli mbiu Tu ya KEY DAY.

KEY day imekuwa mjadala mkubwa mpaka mashabiki wa SIMBA wameingia mazima wamesahau mechi yao kama ilivyo mashabiki wa YANGA walipoingia mazima kwenye KIBEGI huku wakisahau siku ya MWANANCHI DAY.

Mwisho WA siku hakuna aliyelazimishwa kuvaa hivyo ni KEY DAY wangeweza fanya kama huyu hapa.

Mwisho Naitakia kila lenye kheri YANGA TIMU yangu hapo kesho.
 

Attachments

  • FB_IMG_1696004655853.jpg
    44.6 KB · Views: 2
Aahaaaa,umeua mkuu
 
Mashabiki wa hii timu wengi ni wahuni,ukitaka kujua chunguza siku ya mechi yao yoyote wakishinda,lazima wanawake wao wajitoe utupu wengine bure kabisa.

Hata walipokuwa wakienda Rwanda waliwaza ushindi na ngono.
Hiyo ni kawaida yao
Wewe unazungumzia mashabiki? njoo kwa wachezaji wa Simba huku.

Sent from my SM-A6050 using JamiiForums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…