Hata kama viongozi ni wahuni, huku mnakoelekea sio kuzuri

Tunaelewa kuwa Yanga imejaa viongozi wahuni ambao hawaridhiki mpaka wafanye jambo la kihuni. Bahati mbaya watu smart nao hawana cha kusikilizwa zaidi ya kukenua meno tu.

Hata kama, lakini huku mnakoeleka sio sawa. Mnadhalilisha mashabiki wenu. Hii ya kulazimisha mashabiki waje nusu uchi uwanjani sio sawa. Ni mambo yanayothibitisha pia usemi kwamba wenye akili ni wawili tu. Haiwezekani timu nzima waona hili ni sawa.

Naamini humu JF hakuna shabiki anaweza kufanya hivi. Je. Umeona picha ya kiongozi wa Yanga kufanya hivyo. Hakuna.
Pole sana! Kwa kuwa hujaielewa falsafa ya msemaje hajahamasisha hicho unachosema, labda Kama hujui maana ya KEY
 
Tunaelewa kuwa Yanga imejaa viongozi wahuni ambao hawaridhiki mpaka wafanye jambo la kihuni. Bahati mbaya watu smart nao hawana cha kusikilizwa zaidi ya kukenua meno tu.

Hata kama, lakini huku mnakoeleka sio sawa. Mnadhalilisha mashabiki wenu. Hii ya kulazimisha mashabiki waje nusu uchi uwanjani sio sawa. Ni mambo yanayothibitisha pia usemi kwamba wenye akili ni wawili tu. Haiwezekani timu nzima waona hili ni sawa.

Naamini humu JF hakuna shabiki anaweza kufanya hivi. Je. Umeona picha ya kiongozi wa Yanga kufanya hivyo. Hakuna.
we INAKUMA nn!!!waachie timu yao..
 
Mashabiki wa simba acheni kuteseka na mambo yasiyo wahusu. Hao mashabiki wakiamua kufanya hivyo, waache wafanye. Hiyo ndiyo furaha yao.

Mbona na nyinyi wakati wa tamasha lenu la simba day huwa mnafanya maigizo ya kujinyonga, kuingia uwanjani mkiwa kwenye majeneza, nk! Na tumekuwa tukiwashauri muache, lakini hamtaki?

Sasa kukunja bukta tu ndiyo iwe nongwa!!!
Aahaaa
 
Kihasibu hii tuna iitaje?
JamiiForums675848245.jpg
 
Ila sema TIMU za kariakoo tabu Sana.

Siku ya MWANANCHI SIMBA wakaleta KIBEGI, KIBEGI kwa asilimia Fulani kikameza na kufifiza siku ya MWANANCHI.

Tangu hapo WANANCHI wakasema watalipa kisasi,.

Yanga kwenda Rwanda na Simba kwenda Uganda.

Safari ya YANGA Rwanda ikazima safari ya SIMBA Uganda asilimia kubwa watu walikuwa wanaijadili YANGA kuliko SIMBA.

Sasa mechi za Marudiano YANGA wametawala kwa kauli mbiu Tu ya KEY DAY.

KEY day imekuwa mjadala mkubwa mpaka mashabiki wa SIMBA wameingia mazima wamesahau mechi yao kama ilivyo mashabiki wa YANGA walipoingia mazima kwenye KIBEGI huku wakisahau siku ya MWANANCHI DAY.

Mwisho WA siku hakuna aliyelazimishwa kuvaa hivyo ni KEY DAY wangeweza fanya kama huyu hapa.

Mwisho Naitakia kila lenye kheri YANGA TIMU yangu hapo kesho.
 
Attachments

  • FB_IMG_1696004655853.jpg
    FB_IMG_1696004655853.jpg
    44.6 KB · Views: 2
Ila sema TIMU za kariakoo tabu Sana.

Siku ya MWANANCHI SIMBA wakaleta KIBEGI, KIBEGI kwa asilimia Fulani kikameza na kufifiza siku ya MWANANCHI.

Tangu hapo WANANCHI wakasema watalipa kisasi,.

Yanga kwenda Rwanda na Simba kwenda Uganda.

Safari ya YANGA Rwanda ikazima safari ya SIMBA Uganda asilimia kubwa watu walikuwa wanaijadili YANGA kuliko SIMBA.

Sasa mechi za Marudiano YANGA wametawala kwa kauli mbiu Tu ya KEY DAY.

KEY day imekuwa mjadala mkubwa mpaka mashabiki wa SIMBA wameingia mazima wamesahau mechi yao kama ilivyo mashabiki wa YANGA walipoingia mazima kwenye KIBEGI huku wakisahau siku ya MWANANCHI DAY.

Mwisho WA siku hakuna aliyelazimishwa kuvaa hivyo ni KEY DAY wangeweza fanya kama huyu hapa.

Mwisho Naitakia kila lenye kheri YANGA TIMU yangu hapo kesho.
Aahaaaa,umeua mkuu
 
Mashabiki wa hii timu wengi ni wahuni,ukitaka kujua chunguza siku ya mechi yao yoyote wakishinda,lazima wanawake wao wajitoe utupu wengine bure kabisa.

Hata walipokuwa wakienda Rwanda waliwaza ushindi na ngono.
Hiyo ni kawaida yao
Wewe unazungumzia mashabiki? njoo kwa wachezaji wa Simba huku.
JamiiForums-912427097_480x360.jpg

Sent from my SM-A6050 using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom