Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Bora uhuni kuliko kula nganda huko kwenu ni wauzaji na wala nganda tu hakuna aliyesalimikaTunaelewa kuwa Yanga imejaa viongozi wahuni ambao hawaridhiki mpaka wafanye jambo la kihuni. Bahati mbaya watu smart nao hawana cha kusikilizwa zaidi ya kukenua meno tu.
Hata kama, lakini huku mnakoeleka sio sawa. Mnadhalilisha mashabiki wenu. Hii ya kulazimisha mashabiki waje nusu uchi uwanjani sio sawa. Ni mambo yanayothibitisha pia usemi kwamba wenye akili ni wawili tu. Haiwezekani timu nzima waona hili ni sawa.
Naamini humu JF hakuna shabiki anaweza kufanya hivi. Je. Umeona picha ya kiongozi wa Yanga kufanya hivyo. Hakuna.