Hata kama wakishinda uchaguzi Polepole ameanika wazi uchafu wa CCM

Idugunde

JF-Expert Member
Joined
May 21, 2020
Posts
7,748
Reaction score
10,288
Njama za kumuua hayati JPM

Makada wa CCM kuhusika na ufisadi. Mfano Angela Kiziga.

Kuporomoka kwa maadili

Wizi wa kura kupitia Inec na Nida

Ukweli ni kuwa CCM imechafuka amidst election campaign
 
kwahio unataka nn kifanyike
 
Njama za kumuua hayati JPM

Makada wa CCM kuhusika na ufisadi. Mfano Angela Kiziga.

Kuporomoka kwa maadili

Wizi wa kura kupitia Inec na Nida

Ukweli ni kuwa CCM imechafuka amidst election campaign
Washinde kwani wanashindana.na.nani?
 
Njama za kumuua hayati JPM

Makada wa CCM kuhusika na ufisadi. Mfano Angela Kiziga.

Kuporomoka kwa maadili

Wizi wa kura kupitia Inec na Nida

Ukweli ni kuwa CCM imechafuka amidst election campaign
Screenshot_20250615-124601~2.png
 
Njama za kumuua hayati JPM

Makada wa CCM kuhusika na ufisadi. Mfano Angela Kiziga.

Kuporomoka kwa maadili

Wizi wa kura kupitia Inec na Nida

Ukweli ni kuwa CCM imechafuka amidst election campaign
Uchaguzi au maigizo ya uchaguzi?
 
Njama za kumuua hayati JPM

Makada wa CCM kuhusika na ufisadi. Mfano Angela Kiziga.

Kuporomoka kwa maadili

Wizi wa kura kupitia Inec na Nida

Ukweli ni kuwa CCM imechafuka amidst election campaign
Nguvu zote wanazotumia kubaki madarakani zina malengo 2
1. Wanajua fika kuwa akiingia Rais ambaye si mtu wao faili la kifo cha Magufuri litafunguliwa maana wahusika wote wanajulikana
2. Wanataka wendelee kuiba na kuiba tena hadi CCM ianguke yenyewe.
 
Njama za kumuua hayati JPM

Makada wa CCM kuhusika na ufisadi. Mfano Angela Kiziga.

Kuporomoka kwa maadili

Wizi wa kura kupitia Inec na Nida

Ukweli ni kuwa CCM imechafuka amidst election campaign
ccm waaache kupoteza pesa bure kwa kufanya uchaguzi hewa feki ni matumizi mabaya ya pesa ni bora wajitangazie Nchi ya kifalume tujue moja kuliko kupoteza mda kufanya kampeni isiyo na Tija
 
Kampeni za nini? Uchaguzi wa nini? ccm wana utawala wa kifalume wa kimya kimya maana upige kura usipige kura wao hujidai wameshinda kwani kura wanazo mifukoni na nyumbani, hakuna Uchaguzi Tanzania kuna kuchezea pesa kuzunguka zunguka Nchi nzima kuihadaa Dunia tu
 
Njama za kumuua hayati JPM

Makada wa CCM kuhusika na ufisadi. Mfano Angela Kiziga.

Kuporomoka kwa maadili

Wizi wa kura kupitia Inec na Nida

Ukweli ni kuwa CCM imechafuka amidst election campaign
Hakuna uchaguzi mark my words
 
Njama za kumuua hayati JPM

Makada wa CCM kuhusika na ufisadi. Mfano Angela Kiziga.

Kuporomoka kwa maadili

Wizi wa kura kupitia Inec na Nida

Ukweli ni kuwa CCM imechafuka amidst election campaign
Kwani mafisadi ya CCM yanajali mkuu
 
ccm waaache kupoteza pesa bure kwa kufanya uchaguzi hewa feki ni matumizi mabaya ya pesa ni bora wajitangazie Nchi ya kifalume tujue moja kuliko kupoteza mda kufanya kampeni isiyo na Tija
We jamaa upo hai? Nilidhani ulisharest in peace
 
Back
Top Bottom