Hata kama wanabeba Hivi unaweza kubeba watu wote hawa kila mkoa ? 😳

Mafunzo ya Udereva

JF-Expert Member
Joined
Aug 27, 2025
Posts
620
Reaction score
925
Hata kama wanabeba Hivi unaweza kubeba watu wote hawa kila mkoa ? 😳

Cc Lucas Mwashambwa
 
Attachments

  • FB_IMG_17571325971200098.jpg
    FB_IMG_17571325971200098.jpg
    313.6 KB · Views: 31
Juzi tu wamekuja morogoro wanafunzi washule zote za mjini wameambiwa waende kuhudhuria jamuhuri hapo Bado boda boda waliojaziwa mafuta , mabalozi wao kina mama waliopewa kanga na Hela ya Pedi za watoto wao , so kubeba Wana beba kweli Usibishe Yale mabasi waliyo nunua yanini Kwa mfano !?🤣🤣🤣

Apart from that unadhani Kwanini Wana watumia wasanii ktk Mihadhara Yao !?

Wanataka kupata influence Toka Kwa vuvuli Cha hao wasanii Watanzania asilimia 85 Bado inakundi la watu wengi ambao ni wajinga wengi wanataka kumuona zuchu wa YouTube alikiba harmonize diamond and the likes wakiwa live Kwa macho Yao wawaone

Ndio maana unaona mpaka Yanga wanatumika katika kuikampeni ccm kwakuwa ccm inajua hizo tools Zina ushawishi mkubwa katika jamii
 
Asilimia 90 wana Tshirt za chama. It doesn't ring you any bell?
A very good observation! A very good one indeed! Live or die, it is practically impossible for a general political campaign meeting to have over 90% in the party's uniform!
 
Juzi tu wamekuja morogoro wanafunzi washule zote za mjini wameambiwa waende kuhudhuria jamuhuri hapo Bado boda boda waliojaziwa mafuta , mabalozi wao kina mama waliopewa kanga na Hela ya Pedi za watoto wao , so kubeba Wana beba kweli Usibishe Yale mabasi waliyo nunua yanini Kwa mfano !?🤣🤣🤣

Apart from that unadhani Kwanini Wana watumia wasanii ktk Mihadhara Yao !?

Wanataka kupata influence Toka Kwa vuvuli Cha hao wasanii Watanzania asilimia 85 Bado inakundi la watu wengi ambao ni wajinga wengi wanataka kumuona zuchu wa YouTube alikiba harmonize diamond and the likes wakiwa live Kwa macho Yao wawaone

Ndio maana unaona mpaka Yanga wanatumika katika kuikampeni ccm kwakuwa ccm inajua hizo tools Zina ushawishi mkubwa katika jamii
Una akili nyingi na uelewa WA maswala! Ada haikwenda bure! Sio kama wale wengine wanaojiita "MAKADA" wanajadili mambo utafikiri wameng'olewa ubungo!
 
Back
Top Bottom