WILLIAM MARCONI
JF-Expert Member
- Apr 2, 2015
- 2,307
- 953
ππUna akili nyingi na uelewa WA maswala! Ada haikwenda bure! Sio kama wale wengine wanaojiita "MAKADA" wanajadili mambo utafikiri wameng'olewa ubungo!
Hii nchi inawatu Wana udumavu wa akili wakiwa na umri mkubwa.
Ukibeba wanafunzi wa shule 10 kwa nini isionekane umejaza kiasi hicho?
Wewe ndiye mdumavu. If you are so smart why aren't you rich? Ilani naxsera za CCM ni hizihizo ziliikomboa Nchi yetu ukoloni na utumwani; hizo hizo zilizikomboa Msumbiji na Zimbabwe na Afrika ya Kusini. Hizohizo zilimsomesha Raila na Askofu Bagonza na Museveni. Are you saying wote hawo wamedumaa? Wewe ndiye umedumaa ukipofu wa no reforms no erections. Jaza hapo.Hii nchi inawatu Wana udumavu wa akili wakiwa na umri mkubwa.
Kwanza elewa, hizo t-shirt wamepwa Bure. Jaza hapo.
Hadi wengine wanaponea kukanyagwa na matairi ya maloriKubeba wanabeba sikufichi , ukiona amevaa tshirt ujue kabebwa.
Umeshahama mada. Kama si udumavu ni nini?Wewe ndiye mdumavu. If you are so smart why aren't you rich? Ilani naxsera za CCM ni hizihizo ziliikomboa Nchi yetu ukoloni na utumwani; hizo hizo zilizikomboa Msumbiji na Zimbabwe na Afrika ya Kusini. Hizohizo zilimsomesha Raila na Askofu Bagonza na Museveni. Are you saying wote hawo wamedumaa? Wewe ndiye umedumaa ukipofu wa no reforms no erections. Jaza hapo.