Johnny Sack
JF-Expert Member
- Jan 21, 2017
- 8,984
- 19,288
Yanga alijiwejea lengo la kufika hatua ya Makundi CAF CL, na keshatimiza lengo hilo, ikitokea ziada hiyo ni bonus.
Sema mashabiki wanakuwa na expectations kubwa sana sababu wanaiona timu yao iko vizuri mno, lakini Yanga inaelewa ugumu wa mashindano ya kimataifa na huwa haiwapi mashabiki wake ahadi hewa, na ndio maana imekuwa taasisi stable.
Ubaya ni kuwapa moyo mashabiki kuwa utafika nusu fainali kumbe hata kutinga hiyo hatua ya makundi yenyewe ni mtihani mkubwa kwako, inaonekana hujielewi, hujitambui kuwa wewe ni mdogo kiasi gani ni kuwajaza tu mashabiki upepo nao wanajaa, mwisho wa siku timu inakuwa kwenye crisis.