Johnny Sack
JF-Expert Member
- Jan 21, 2017
- 8,984
- 19,288
Acha makasiriko,Madeama na Mualjeria hawatoki kwa Mkapa.Yanga alijiwejea lengo la kufika hatua ya Makundi CAF CL, na keshatimiza lengo hilo, ikitokea ziada hiyo ni bonus
Sema mashabiki wanakuwa na expectations kubwa sana sababu wanaiona timu yao iko vizuri mno, lakini Yanga inaelewa ugumu wa mashindano ya kimataifa na huwa haiwapi mashabiki wake ahadi hewa, na ndio maana imekuwa taasisi stable
Ubaya ni kuwapa moyo mashabiki kuwa utafika nusu fainali kumbe hata kutinga hiyo hatua ya makundi yenyewe ni mtihani mkubwa kwako, inaonekana hujielewi, hujitambui kuwa wewe ni mdogo kiasi gani ni kuwajaza tu mashabiki upepo nao wanajaa, mwisho wa siku timu inakuwa kwenye crisis
Yanga alijiwejea lengo la kufika hatua ya Makundi CAF CL, na keshatimiza lengo hilo, ikitokea ziada hiyo ni bonus
Sema mashabiki wanakuwa na expectations kubwa sana sababu wanaiona timu yao iko vizuri mno, lakini Yanga inaelewa ugumu wa mashindano ya kimataifa na huwa haiwapi mashabiki wake ahadi hewa, na ndio maana imekuwa taasisi stable
Ubaya ni kuwapa moyo mashabiki kuwa utafika nusu fainali kumbe hata kutinga hiyo hatua ya makundi yenyewe ni mtihani mkubwa kwako, inaonekana hujielewi, hujitambui kuwa wewe ni mdogo kiasi gani ni kuwajaza tu mashabiki upepo nao wanajaa, mwisho wa siku timu inakuwa kwenye crisis
Hilo ndo tatizo lenu,mnadhani huku kuna timu dhaifu eeh??shauri yenuAcha makasiriko,Madeama na Mualjeria hawatoki kwa Mkapa.
Wasiwasi wako nini?
Kwa hiyo yule mpiga tarumbeta wenu alipokua anapigia mahesabu ya pointi 9 za nyumbani ili kufuzu robo fainali alikua anaongelea timu gani ?Yanga alijiwejea lengo la kufika hatua ya Makundi CAF CL, na keshatimiza lengo hilo, ikitokea ziada hiyo ni bonus
Sema mashabiki wanakuwa na expectations kubwa sana sababu wanaiona timu yao iko vizuri mno, lakini Yanga inaelewa ugumu wa mashindano ya kimataifa na huwa haiwapi mashabiki wake ahadi hewa, na ndio maana imekuwa taasisi stable
Ubaya ni kuwapa moyo mashabiki kuwa utafika nusu fainali kumbe hata kutinga hiyo hatua ya makundi yenyewe ni mtihani mkubwa kwako, inaonekana hujielewi, hujitambui kuwa wewe ni mdogo kiasi gani ni kuwajaza tu mashabiki upepo nao wanajaa, mwisho wa siku timu inakuwa kwenye crisis
Walishasema kwamba kwa Yanga wenye akili hamnqYanga alijiwejea lengo la kufika hatua ya Makundi CAF CL, na keshatimiza lengo hilo, ikitokea ziada hiyo ni bonus.
Sema mashabiki wanakuwa na expectations kubwa sana sababu wanaiona timu yao iko vizuri mno, lakini Yanga inaelewa ugumu wa mashindano ya kimataifa na huwa haiwapi mashabiki wake ahadi hewa, na ndio maana imekuwa taasisi stable.
Ubaya ni kuwapa moyo mashabiki kuwa utafika nusu fainali kumbe hata kutinga hiyo hatua ya makundi yenyewe ni mtihani mkubwa kwako, inaonekana hujielewi, hujitambui kuwa wewe ni mdogo kiasi gani ni kuwajaza tu mashabiki upepo nao wanajaa, mwisho wa siku timu inakuwa kwenye crisis.
Msimu ujao tuweke lengo la kufika raundi ya pili ili tufikie lengo mapema na kirahisi. Hersi mjanja sana, hakutaka ghasia za mashabiki!Yanga alijiwejea lengo la kufika hatua ya Makundi CAF CL, na keshatimiza lengo hilo, ikitokea ziada hiyo ni bonus.
We kweli fuso [emoji28]Waambie Uto wakome kubeza mafanikio ya wenzao, unafikiri robo fainali ya CAF Champions ni mchezo.
Watu washatoboa mara 04 ebooo. Mwacheni mnyama aitwe mnyama.
Kama Simba inashiriki utasemaje hakuna timu dhaifu!!Hilo ndo tatizo lenu,mnadhani huku kuna timu dhaifu eeh??shauri yenu
Hayo sio malengo, ni kujikatia tamaa.Yanga alijiwejea lengo la kufika hatua ya Makundi CAF CL, na keshatimiza lengo hilo, ikitokea ziada hiyo ni bonus.
Sema mashabiki wanakuwa na expectations kubwa sana sababu wanaiona timu yao iko vizuri mno, lakini Yanga inaelewa ugumu wa mashindano ya kimataifa na huwa haiwapi mashabiki wake ahadi hewa, na ndio maana imekuwa taasisi stable.
Ubaya ni kuwapa moyo mashabiki kuwa utafika nusu fainali kumbe hata kutinga hiyo hatua ya makundi yenyewe ni mtihani mkubwa kwako, inaonekana hujielewi, hujitambui kuwa wewe ni mdogo kiasi gani ni kuwajaza tu mashabiki upepo nao wanajaa, mwisho wa siku timu inakuwa kwenye crisis.
Hata hivo mi naona kufika makundi ilikuwa malengo makubwa, mwakani mkirudi njoni na malengo ya kufika makundi na kupata point 4 maana hadi saaa ni point 2Kama Simba inashiriki utasemaje hakuna timu dhaifu!!
Kuweka malengo finyu ni aina ya ulaghai.Ni sawa na halmashauri inayojua inatakiwa kukusanya bilioni kumi,ikajiwekea lengo la kukusanya bilioni moja unusu tu.Halafu wakikusanya zaiidi wanajiandalia hadi sherehe.Ni uhuni wa wazi.Yanga alijiwejea lengo la kufika hatua ya Makundi CAF CL, na keshatimiza lengo hilo, ikitokea ziada hiyo ni bonus.
Sema mashabiki wanakuwa na expectations kubwa sana sababu wanaiona timu yao iko vizuri mno, lakini Yanga inaelewa ugumu wa mashindano ya kimataifa na huwa haiwapi mashabiki wake ahadi hewa, na ndio maana imekuwa taasisi stable.
Ubaya ni kuwapa moyo mashabiki kuwa utafika nusu fainali kumbe hata kutinga hiyo hatua ya makundi yenyewe ni mtihani mkubwa kwako, inaonekana hujielewi, hujitambui kuwa wewe ni mdogo kiasi gani ni kuwajaza tu mashabiki upepo nao wanajaa, mwisho wa siku timu inakuwa kwenye crisis.
Kuna mtu anayetaka kuwa wa "mwisho" kwenye ushindani?Mnaandika kama vidole vyenu vimeibwa.Uko sahihi Mzee,,, wakolokwinyo tuwaache wajitekenye,,
Yanga ikishinda mevmchi mbili za Nyumbani,, then CR belouizdad alikifungwa na Al ahly.. Yanga itaingia robo.
All in All malengo ya Yanga yametimia haya mengi ni Extra tu
Ngoja Waydad wawanyoosheHilo ndo tatizo lenu,mnadhani huku kuna timu dhaifu eeh??shauri yenu