HAMIMU HAMIS
Member
- May 14, 2017
- 83
- 32
Ccm wameishiwa pumzi kabisa Leo dhambi inawatafuna waliiba sasa wameamua kurudisha kwa uwezo wa Allah
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Halafu eti kutwa wanasifiwa watoto wa mjini. Tumerogwa, wamejipendelea hadi kufuruDah ila Kikwete kaiba siyo mchezo. Dart kamega mamia ya mabilioni. Hazina kafyeka. Richmond kala. Iptl kila siku anapata mgao wake. Huko bandarini home shopping na makonteina kalamba. Cha kukasirisha anamuita lowasa fisadi. Gesi asilia kasafisha. Hii ya bandari ya bagamoyo alidhani Membe atakuwa rais hili waendelee kuifilisi nchi. Halafu anaomba wamuache apumzike.
Devil
Are you sure?That was a white elephant project
Acha ushamba wewe.Wadau mimi naona kama Rais Magufuli akiendelea hivi we don't another President kwani miaka 20 ya Demokrasia Tanzania tumepata maafa ya kiuchumi.
Allah Bless Magufuli.
brother/sister, samahani ulikuwa unamaanisha nini hapa. Mimi ni wale wa kk (kujua kusoma na kuandika)Wadau mimi naona kama Rais Magufuli akiendelea hivi we don't another President kwani miaka 20 ya Demokrasia Tanzania tumepata maafa ya kiuchumi.
Allah Bless Magufuli.
Maccm yote hayana aibu. Kule chato mnajenga nini ss hivi?Mtoto wa mjini hana hata aibu kwa alivojipendelea yeye, eneo lake, dini yake. Yaani kama sio muda wake kuisha ilibaki kidogo nchi nzima tusilimu tu kama kina lugumi ili na wewe uonekane mtanzania
Mimi ni ppt maendeleoKwahiyo nyie mlioko CDM ni kwamba kila linaloendelea na kufanya na viongozi wenu mnakubaliana nalo 100%, huwa hakuna pahala nguvu ya wengi inawaacha wachache ama kwenu demokrasia ni vazi tu? Na kama mna demokrasia kweli basi naamini si wote katika chama chenu huwa mnakubaliana na kama nyote mnakubaliana kwa kila jambo basi ni wazi pia, hamna demokrasia. Demokrasia kwa maana nyingine ni lazima kuwepo na mawazo tofauti lakini siku zote mawazo ya wengi ndio ushinda na ndo ubeba maamuzi.
Vivyo hivyo, CCM nako walikuwa na yao. Naamini wengi wao walishakaa ki upigaji pigaji lakini naamini wale wachache pia (akina Magufuli) nao walikuwepo ila kwa vile wanaokuwa wengi wanaruhusiwa kuungwa mkono hata kwa kuhusisha njia haramu za kulaghai na ndo walioko madarakani (bosi) basi nyie wachache mawazo yenu hayawezi kupenya. Kuna mambo JPM simwelewi lakini kumtizama JPM kwa macho ya wana CCM walio wengi nafikiri itakuwa ni kutokumwelewa vizuri ama kujianya msanii. JPM ni CCM lakini JPM ni JPM katika yeye, waulize CCM wenyewe watakusaidia kumfahamu vizuri zaidi.
Umenikwepa hapo mkuu, ok sawa.Mimi ni ppt maendeleo
Hapana not to that extent.!!¡Mtoto wa mjini hana hata aibu kwa alivojipendelea yeye, eneo lake, dini yake. Yaani kama sio muda wake kuisha ilibaki kidogo nchi nzima tusilimu tu kama kina lugumi ili na wewe uonekane mtanzania