Hata Kusimamisha Mradi wa Bandari ya Bagamoyo Rais Magufuli aliokoa Taifa

Ccm wameishiwa pumzi kabisa Leo dhambi inawatafuna waliiba sasa wameamua kurudisha kwa uwezo wa Allah
 
Halafu eti kutwa wanasifiwa watoto wa mjini. Tumerogwa, wamejipendelea hadi kufuru
 
Wadau mimi naona kama Rais Magufuli akiendelea hivi we don't another President kwani miaka 20 ya Demokrasia Tanzania tumepata maafa ya kiuchumi.
Allah Bless Magufuli.
 
Yaani kitu cha ajabu akasimamisha bagamoyo akaanzisha chato.
Sasa tofauti yake ni nn? Alichofanya ni kuamisha tu hela ya bagamoyo akaipeleka chato sasa unamsifia kwa lipi? Acheni unafiki
 
That was a white elephant project
Are you sure?
Have even read the whole business plan of the project?
Msimpe sifa JPM kwa kuwachafua wengine. Hiyo miradi imepitishwa JPM akiwa mwana CCM na hadi leo ni mwana CCM. Huwezi mtenganisha na ufisadi.
 
Wadau mimi naona kama Rais Magufuli akiendelea hivi we don't another President kwani miaka 20 ya Demokrasia Tanzania tumepata maafa ya kiuchumi.
Allah Bless Magufuli.
Acha ushamba wewe.
Ameuza nyumba za taifa, kivuko cha bagamoyo, kununua ndege kwa cash na mengine mengi.
Hata hao waliopita wanajua jinsi fisadi alivyo..
 
Wadau mimi naona kama Rais Magufuli akiendelea hivi we don't another President kwani miaka 20 ya Demokrasia Tanzania tumepata maafa ya kiuchumi.
Allah Bless Magufuli.
brother/sister, samahani ulikuwa unamaanisha nini hapa. Mimi ni wale wa kk (kujua kusoma na kuandika)
 
Mtoto wa mjini hana hata aibu kwa alivojipendelea yeye, eneo lake, dini yake. Yaani kama sio muda wake kuisha ilibaki kidogo nchi nzima tusilimu tu kama kina lugumi ili na wewe uonekane mtanzania
Maccm yote hayana aibu. Kule chato mnajenga nini ss hivi?
 
Mimi ni ppt maendeleo
 
Mtoto wa mjini hana hata aibu kwa alivojipendelea yeye, eneo lake, dini yake. Yaani kama sio muda wake kuisha ilibaki kidogo nchi nzima tusilimu tu kama kina lugumi ili na wewe uonekane mtanzania
Hapana not to that extent.!!¡
 
Hiyo ni miradi ya ccm haiwezi kufa hivi hivi unafilili watakula wapi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…