Hata Lissu akiwa M/Mwenyekiti CCM (sio CHADEMA) hana maajabu kisiasa

Hata Lissu akiwa M/Mwenyekiti CCM (sio CHADEMA) hana maajabu kisiasa

Akiwa cvm atamshambulia nani kwajukwaa llipi?

Kule ukipiga kelele anazopiga huku unafukuzwa na mjumbe wa nyumba kumi, hawahitaji vikao kumfukuza.
 
Kwa Nguvu ya CCM Hata LISSU awe Makamu Mwenyekiti wa CCM hana madhara (Debe tupu).
hata tundu lisu mwenyewe kwa kinywa chake akiwa anahojiwa na salim kikeke kwenye kipindi cha tv aliwahi kusema kwamba "yeye ana akili timamu sawa sawa kwa hiyo hawezi kuhamia ccm."
 
wananchi wa jamhuri ya Muungano
20240923_124437.jpg

Bila ya hawa mbwa ccm hamna kitu.
 
Back
Top Bottom