Hata Magufuli aliagiza Uchunguzi wa shambulio la Lissu Ufanyike, Je Ulifanyika? Ujasiri wa kuamini kauli ya Rais Samia mnautoa wapi?

Erythrocyte

JF-Expert Member
Joined
Nov 6, 2012
Posts
128,308
Reaction score
245,426
Hakuna uwezekano wowote ule wa kuwaamini viongozi wa CCM, hata kama wewe ni Mjinga kiasi gani, ili uwaamini unapaswa kuwa huna kabisa Ubongo.

Dkt Magufuli aliyekuwa Rais wa Tanzania na Mwenyekiti wa CCM kama alivyo Samia Suluhu leo, Aliagiza waliomshambulia Tundu Lissu watafutwe, na katika ujumbe wake alijidai kusikitishwa sana na Shambulio lile, wako wanaosema Alilia kinafiki na machozi yakamtoka.

Sasa Je Uchunguzi wa Shambulio la Lissu ulifanyika?

Soma Pia: Rais Samia aagiza Vyombo vya Uchunguzi kumpa taarifa ya kina ya Kifo cha Ali Mohamed Kibao

Screenshot_2024-09-08-22-32-31-1.png

Ujasiri wa kumuamini huyu Rais wa sasa mnautoa wapi?
 
Hiyo kauli ya rais ni hadaa ya mchana kweupe maana anajua kila kinachoendelea. Ile sheria mpya ya usalama wa taifa haya yanayoendelea ndio lilikuwa lengo. Atahadaa wajinga.
Kama Mungu ni Mjomba wake basi bila shaka yeye ataishi milele
 
Hiyo kauli ya rais ni hadaa ya mchana kweupe maana anajua kila kinachoendelea. Ile sheria mpya ya usalama wa taifa haya yanayoendelea ndio lilikuwa lengo. Atahadaa wajinga.
Na chanzo cha yote haya uchafuzi ulioporwa na kusimika mfumo wa chama kimoja na kinaa,upinzani ukapewa mwakilishi mmoja na nyoongeza ya covid 19 ambayo hata yenyewe haikuwahi kujua kama yenyewe popo au ndege.
 
Hakuna uwezekano wowote ule wa kuwaamini viongozi wa CCM, hata kama wewe ni Mjinga kiasi gani, ili uwaamini unapaswa kuwa huna kabisa Ubongo.

Dkt Magufuli aliyekuwa Rais wa Tanzania na Mwenyekiti wa CCM kama alivyo Samia Suluhu leo, Aliagiza waliomshambulia Tundu Lissu watafutwe, na katika ujumbe wake alijidai kusikitishwa sana na Shambulio lile, wako wanaosema Alilia kinafiki na machozi yakamtoka.

Sasa Je Uchunguzi wa Shambulio la Lissu ulifanyika?

Soma Pia: Rais Samia aagiza Vyombo vya Uchunguzi kumpa taarifa ya kina ya Kifo cha Ali Mohamed Kibao

Ujasiri wa kumuamini huyu Rais wa sasa mnautoa wapi?
Rais akikaa kimya,kakaa kimya hamsemi chochote,akiagiza uchunguzi uchunguzi hauna maana...jaribuni kuwa binadam wa kawaida walau kidogo manyang'au
 
Hiyo kauli ya rais ni hadaa ya mchana kweupe maana anajua kila kinachoendelea. Ile sheria mpya ya usalama wa taifa haya yanayoendelea ndio lilikuwa lengo. Atahadaa wajinga.
May be Kwa LISU at least unaweza kujenga hoja kuwa alikuwa Mwiba mchungu Kwa serikali ya mwendazake,Sasa huyo Marehemu Ally mbona hata hakuwa MTU mwenye kukinzana na Dola?

Hadi ipelekee auwawe kifo kama Hiko.
 
..tafsiri yake ni serikali na dola wameshajenga usugu wa kuteka na kuua.

..ndio maana unaona wameuwa hata ktk mazingira ambayo haikutegemewa wauwe.

..huyu bwana huenda hakuwa na uwezo wa kuhimili mateso ya watekaji hivyo akawafia ghafla.

..katika mazingira hayo ndio wakaamua kumtupa baada ya kuharibu uso ili asitambulike.
 
Hakuna uwezekano wowote ule wa kuwaamini viongozi wa CCM, hata kama wewe ni Mjinga kiasi gani, ili uwaamini unapaswa kuwa huna kabisa Ubongo.

Dkt Magufuli aliyekuwa Rais wa Tanzania na Mwenyekiti wa CCM kama alivyo Samia Suluhu leo, Aliagiza waliomshambulia Tundu Lissu watafutwe, na katika ujumbe wake alijidai kusikitishwa sana na Shambulio lile, wako wanaosema Alilia kinafiki na machozi yakamtoka.

Sasa Je Uchunguzi wa Shambulio la Lissu ulifanyika?

Soma Pia: Rais Samia aagiza Vyombo vya Uchunguzi kumpa taarifa ya kina ya Kifo cha Ali Mohamed Kibao

Ujasiri wa kumuamini huyu Rais wa sasa mnautoa wapi?

Kwenye teuzi za Wakuu wa Wilaya wanatoa press release. Kwenye issue kama hii wanatuma katweet.
 
Hiki kisiwa hata shetani kainua mikono. Yaani majambazi yanateka mtu mmoja ndani ya basi katikati ya mji.
 
May be Kwa LISU at least unaweza kujenga hoja kuwa alikuwa Mwiba mchungu Kwa serikali ya mwendazake,Sasa huyo Marehemu Ally mbona hata hakuwa MTU mwenye kukinzana na Dola?

Hadi ipelekee auwawe kifo kama Hiko.
Mi mwenyewe nimemjua baada ya hili tukio
 
Back
Top Bottom