Erythrocyte
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 128,308
- 245,426
Kama Mungu ni Mjomba wake basi bila shaka yeye ataishi mileleHiyo kauli ya rais ni hadaa ya mchana kweupe maana anajua kila kinachoendelea. Ile sheria mpya ya usalama wa taifa haya yanayoendelea ndio lilikuwa lengo. Atahadaa wajinga.
Na chanzo cha yote haya uchafuzi ulioporwa na kusimika mfumo wa chama kimoja na kinaa,upinzani ukapewa mwakilishi mmoja na nyoongeza ya covid 19 ambayo hata yenyewe haikuwahi kujua kama yenyewe popo au ndege.Hiyo kauli ya rais ni hadaa ya mchana kweupe maana anajua kila kinachoendelea. Ile sheria mpya ya usalama wa taifa haya yanayoendelea ndio lilikuwa lengo. Atahadaa wajinga.
Rais akikaa kimya,kakaa kimya hamsemi chochote,akiagiza uchunguzi uchunguzi hauna maana...jaribuni kuwa binadam wa kawaida walau kidogo manyang'auHakuna uwezekano wowote ule wa kuwaamini viongozi wa CCM, hata kama wewe ni Mjinga kiasi gani, ili uwaamini unapaswa kuwa huna kabisa Ubongo.
Dkt Magufuli aliyekuwa Rais wa Tanzania na Mwenyekiti wa CCM kama alivyo Samia Suluhu leo, Aliagiza waliomshambulia Tundu Lissu watafutwe, na katika ujumbe wake alijidai kusikitishwa sana na Shambulio lile, wako wanaosema Alilia kinafiki na machozi yakamtoka.
Sasa Je Uchunguzi wa Shambulio la Lissu ulifanyika?
Soma Pia: Rais Samia aagiza Vyombo vya Uchunguzi kumpa taarifa ya kina ya Kifo cha Ali Mohamed Kibao
Ujasiri wa kumuamini huyu Rais wa sasa mnautoa wapi?
Uchunguzi alioagiza Magufuli ulifanyika?Rais akikaa kimya,kakaa kimya hamsemi chochote,akiagiza uchunguzi uchunguzi hauna maana...jaribuni kuwa binadam wa kawaida walau kidogo manyang'au
May be Kwa LISU at least unaweza kujenga hoja kuwa alikuwa Mwiba mchungu Kwa serikali ya mwendazake,Sasa huyo Marehemu Ally mbona hata hakuwa MTU mwenye kukinzana na Dola?Hiyo kauli ya rais ni hadaa ya mchana kweupe maana anajua kila kinachoendelea. Ile sheria mpya ya usalama wa taifa haya yanayoendelea ndio lilikuwa lengo. Atahadaa wajinga.
Hiyo inajustify vipi huu kutofanyika?Uchunguzi alioagiza Magufuli ulifanyika?
Dhambi ya kumwandama Magufuri ndio inatesa wengi leo hii
May be Kwa LISU at least unaweza kujenga hoja kuwa alikuwa Mwiba mchungu Kwa serikali ya mwendazake,Sasa huyo Marehemu Ally mbona hata hakuwa MTU mwenye kukinzana na Dola?
Hadi ipelekee auwawe kifo kama Hiko.
Samia aliposema utekaji ni Drama alimaanisha nini ? kumtetea Shetano si kazi rahisiHiyo inajustify vipi huu kutofanyika?
Magufuli is dead and gone, huyu tulie nae ni Samia.
Hiyo ni dhahiriKila ubaya utalipwa
Hakuna uwezekano wowote ule wa kuwaamini viongozi wa CCM, hata kama wewe ni Mjinga kiasi gani, ili uwaamini unapaswa kuwa huna kabisa Ubongo.
Dkt Magufuli aliyekuwa Rais wa Tanzania na Mwenyekiti wa CCM kama alivyo Samia Suluhu leo, Aliagiza waliomshambulia Tundu Lissu watafutwe, na katika ujumbe wake alijidai kusikitishwa sana na Shambulio lile, wako wanaosema Alilia kinafiki na machozi yakamtoka.
Sasa Je Uchunguzi wa Shambulio la Lissu ulifanyika?
Soma Pia: Rais Samia aagiza Vyombo vya Uchunguzi kumpa taarifa ya kina ya Kifo cha Ali Mohamed Kibao
Ujasiri wa kumuamini huyu Rais wa sasa mnautoa wapi?
Jiulize weweKwenye teuzi za Wakuu wa Wilaya wanatoa press release. Kwenye issue kama hii wanatuma katweet.
Samia ambaye alisema hao wanaoripotiwa kupotea ni drama tu.Hiyo inajustify vipi huu kutofanyika?
Magufuli is dead and gone, huyu tulie nae ni Samia.
Mi mwenyewe nimemjua baada ya hili tukioMay be Kwa LISU at least unaweza kujenga hoja kuwa alikuwa Mwiba mchungu Kwa serikali ya mwendazake,Sasa huyo Marehemu Ally mbona hata hakuwa MTU mwenye kukinzana na Dola?
Hadi ipelekee auwawe kifo kama Hiko.