longi mapexa
JF-Expert Member
- Jul 18, 2015
- 3,265
- 4,250
- Thread starter
-
- #21
Hapo ndipo Wamasikini walio wajeuri wanakuambia hela haikusaidiiUmenikumbusha ishu ya steve Jobs!! Daaah maisha haya hela tunaitafua ila kuna kipindi haina thamani kabisa maishani
Shukrani mkuu
KweliNi Kweli mkuu mara nyingi tukiyumbishwa tunapoteza malengo kitu ambacho tunapaswa kubadilisha. Pia ni muhimu kujipa matumaini na mawazo chanya siku zote.
Hahahhaha😂😂😂Hapo ndipo Wamasikini walio wajeuri wanakuambia hela haikusaidii
Ahahahha😁😁😁 Alafu na nafsi zao zinatulia kabisa...A.k.a Maskini Jeuri...kule kwetu Uheheni tunasema Ndimgayasida( sina shida mimi)😁Hapo ndipo Wamasikini walio wajeuri wanakuambia hela haikusaidii
Karibu sana mkuu
Yani ukishakuwa maskini matatizo ya matajiri ndo faraja pekeeeAhahahha😁😁😁 Alafu na nafsi zao zinatulia kabisa...A.k.a Maskini Jeuri...kule kwetu Uheheni tunasema Ndimgayasida( sina shida mimi)😁
Kulingana na Wikipedia Cristiano Ronaldo ana wafuasi takriban milioni 158 ulimwenguni.Ila hilo la kupitwa followers Na R7 Ngoja nione Mbona kama Bado anaongoza Selena?
Sent using Jamii Forums mobile app
Kulingana na wajuzi wa taarifa binafsi za watu maarufu kama gazeti/jarida la TMZ lenye makazi yake kulee Marekani wanasema safari hii kuachana kwa nyota hao wa muziki wa pop ni kwasababu familia ya Selena Gomez haswa mama yake wanashindwa kumuamini sukari ya warembo bwana Justin Bieber kama amebadilika kweli au atamchezea tu binti yaooff topic: nimetafuta mahali ulipomzungumzia justin bieber kuachana na selena nimekosa, btw hivi bieber aliachana na selena sababu gani jamani hadi kuamia kwa hailey na kumuoa
Na tungejiliza sana huku tukimuonyesha mahaba yoteeIngekuwa Africa siku nyingi ashakufa na tushamsahau
Mambo yasiwe mengi, mengi yasiwe mambo
R7 ndio anaongoza akifatiwa na Ariana Grande.Ila hilo la kupitwa followers Na R7 Ngoja nione Mbona kama Bado anaongoza Selena?
Sent using Jamii Forums mobile app
kila ugonjwa wa bindamu una dawa tatizo kujuwa ni ipi so kama mzungu kashindwa mwache bantu man afanye yake. hata Dr. Livingstone alipigwa majani hayo hadi leo hajaoza watu wanajuwana mungu anasaidiaMkuu ntafanya mchakato wa kumtumia kwa Email asee