Hata magumu yana sababu; soma kisa cha Selena Gomes na rafiki yake Francia

Hata magumu yana sababu; soma kisa cha Selena Gomes na rafiki yake Francia

Umenikumbusha ishu ya steve Jobs!! Daaah maisha haya hela tunaitafua ila kuna kipindi haina thamani kabisa maishani
Hapo ndipo Wamasikini walio wajeuri wanakuambia hela haikusaidii
 
off topic: nimetafuta mahali ulipomzungumzia justin bieber kuachana na selena nimekosa, btw hivi bieber aliachana na selena sababu gani jamani hadi kuamia kwa hailey na kumuoa
 
Ingekuwa Africa siku nyingi ashakufa na tushamsahau

Mambo yasiwe mengi, mengi yasiwe mambo
 
off topic: nimetafuta mahali ulipomzungumzia justin bieber kuachana na selena nimekosa, btw hivi bieber aliachana na selena sababu gani jamani hadi kuamia kwa hailey na kumuoa
Kulingana na wajuzi wa taarifa binafsi za watu maarufu kama gazeti/jarida la TMZ lenye makazi yake kulee Marekani wanasema safari hii kuachana kwa nyota hao wa muziki wa pop ni kwasababu familia ya Selena Gomez haswa mama yake wanashindwa kumuamini sukari ya warembo bwana Justin Bieber kama amebadilika kweli au atamchezea tu binti yao
 
Ingekuwa Africa siku nyingi ashakufa na tushamsahau

Mambo yasiwe mengi, mengi yasiwe mambo
Na tungejiliza sana huku tukimuonyesha mahaba yotee

Africa kwa kuonyesha upendo kwa marehemu hatuna mfano mkuu
 
Mkuu ntafanya mchakato wa kumtumia kwa Email asee
kila ugonjwa wa bindamu una dawa tatizo kujuwa ni ipi so kama mzungu kashindwa mwache bantu man afanye yake. hata Dr. Livingstone alipigwa majani hayo hadi leo hajaoza watu wanajuwana mungu anasaidia
 
Back
Top Bottom