Moto wa volcano
JF-Expert Member
- Jun 3, 2018
- 2,682
- 6,638
Anayedhulumu haki ya mtu / pesa kwa kisingizio ana maisha magumu ni mwizi kama wezi wengine, kisheria anaitwa mhalifu ktk ngazi ya kidini ni mwenye dhambi.
Hauwezi ukadhulumu watu ukabaki salamaKarma is the bitch
Hata iwe vp usithubutu kudhulumu watuMaisha yakikukaba koo, lolote laweza kutokea
Sahihi!Anayedhulumu haki ya mtu / pesa kwa kisingizio ana maisha magumu ni mwizi kama wezi wengine, kisheria anaitwa mhalifu ktk ngazi ya kidini ni mwenye dhambi.
Kabisa ndg yangHii ni principle nzuri sana ya maisha.
Utaishi sana.📌
Hv ni sahihi kwa binadamu wa kawaida kuishi Sinza ?Anayedhulumu haki ya mtu / pesa kwa kisingizio ana maisha magumu ni mwizi kama wezi wengine, kisheria anaitwa mhalifu ktk ngazi ya kidini ni mwenye dhambi.
Don't Rush broski take one step at a time😀😀😀😀😀 when you reach 30 years, don't play by the rules
Sinza ni eneo la kibiashara tu lakini kwa kuishi hapavutiiHv ni sahihi kwa binadamu wa kawaida kuishi Sinza ?
ni huzuniSinza ni eneo la kibiashara tu lakini kwa kuishi hapavutii