Hata Maisha yakukabe vipi Usidhulumu au kutapeli mtu

πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€ when you reach 30 years, don't play by the rules
 
Anayedhulumu haki ya mtu / pesa kwa kisingizio ana maisha magumu ni mwizi kama wezi wengine, kisheria anaitwa mhalifu ktk ngazi ya kidini ni mwenye dhambi.
Hv ni sahihi kwa binadamu wa kawaida kuishi Sinza ?
 
Dah,ushauri mzuri na mgumu sana
 
Wengi tunafanya vitu ambavyo laiti kama tungefanyiwa Sisi basi tungelaani na kusikitika...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…