Hata mfumo wetu wa Elimu ndio umeamua jinsi leo wa Tanzania tulivyo

Hata mfumo wetu wa Elimu ndio umeamua jinsi leo wa Tanzania tulivyo

mcTobby

JF-Expert Member
Joined
Feb 16, 2018
Posts
7,894
Reaction score
22,679
Yeah , kujipendekeza kwa watawala, kushangilia mafisadi wakitumia pesa hovyo na hata kukubali kuhongwa baiskeli,pikipiki n.k ambazo obviously zimenunuliwa kwa kodi zetu tunazokamuliwa kila uchao. Mnaweza kuwabagaza walioelimika na wasomi nguli hawajionyeshi wala kujitokeza kwenye majukwaa ya wanasiasa, lakini hata wakijitokeza kushauri maswala yenye mantiki bado mnawabagaza na kuwadhalilisha. Kiukweli kundi la wajinga na mambumbu mzungu wa reli tuko wengi.. tunatupiwa mifupa na makombo huku tukiwashangilia... Ubinafsi wa wanasiasa ndio order of the day.
Poor You, poor we, poor us.
 
Back
Top Bottom