The Finest
JF-Expert Member
- Jul 14, 2010
- 21,605
- 6,092
mambo yanaenda kama filamu ya kihindi vile, jana mdada karud ikwa mume lakini kacctiza kwamba akili yake bado ipo pale pale, na hajui kama atampa unyumba mpaka cku atakapofanikiwa kuilengesha kwa mwingine yeye ndio aje aendelee, wanaume wakati mwingine bwana mnakitakiaga matatizo, sasa huyu akili yake imemuhama kabisa, haambiwi wala ashauriki.
Nini cha kumuua hapo? mbona kawaida tu? Kwani alimkuta bikira?usiape...hata mie naona tayari ndoa imesharafiki kitambo, kuizika ni cku yakija kujulikana yaliypo mawazoni kwa mdada...lakini kuna watu wanajua ku revenge wallaah, hii kitu mie icngenijia akilini kabisa, huyu mdada kama atafanya kweli kwa anacho plan kufanya cku ya cku yakajulikana huyu mkaka atafariki haki ya nani.
usiape...hata mie naona tayari ndoa imesharafiki kitambo, kuizika ni cku yakija kujulikana yaliypo mawazoni kwa mdada...lakini kuna watu wanajua ku revenge wallaah, hii kitu mie icngenijia akilini kabisa, huyu mdada kama atafanya kweli kwa anacho plan kufanya cku ya cku yakajulikana huyu mkaka atafariki haki ya nani.
Hapo ndoa bado ipo Nyamayao, hayo ni matokeo tu ya ndoa!na bado mbona watashuhudia mengi tu kama mungu akiwajaalia miaka mingi ya kuishi!
Phew!!!! Hapo ndio nimechoka kabisa dah sijui ataenda kuilengesha kwa mwanaume gani duh NDOA NDOANO kweli omba uyasikie tu watu wanayaongea.
Mpwa ulikuwa wapi? Unapiga kampeni za uchaguzi nini?
Sorry mpwas sikukuaga, kama ulikuwepo vile!nilienda kwetu kanda ya ziwa kuweka mambo sawa katika pilika pilika za kampeni!
mume hapa anampokea mke wa shangwe zote akifurahia kusamehewa, laiti angejua lililopo moyoni kwa mwenzie.....lakini na nyie mkomage kabisa, mengine mnajitakia, huyu ndio ataishia kulea wa wenzie kama mke akifanya kweli.
Vipi umefanikiwa kuja na mapanki au na yenyewe ndio yameishakuwa adimu
Mbona huniombi radhi mimi MODERETA MKUU a.k.a INVIZIBO?Sorry mpwas sikukuaga, kama ulikuwepo vile!nilienda kwetu kanda ya ziwa kuweka mambo sawa katika pilika pilika za kampeni!
:confused2::confused2::confused2:Nyamayao bana...yaani kila siku yeye analalama kuhusu infidelity tu....
:confused2::confused2::confused2:
Mshauri mwenzio arudi aendelee kupika na kugangamaa.
Mama zetu zamani walikuwa wanavumilia baba anaweza alale nje kwa mwanamke nyumba ya 3 hata wiki anaamka na kuchapa lapa kazini jioni anarudi kabeba nyama anaishia hapo hapo nyumba ya 3 mpaka wiki akisha mkifu ndo anakumbuka familia anarudi nyumbani na mama anampokea kwa mikono miwili uigeni mioyo ya mama zetu wa zamani uvumilivu, wanawake wa kisasa bana ndo maana mm nasita sita kutangaza nia hivi hivi maana uvumilivu ni sifuli.