The Finest
JF-Expert Member
- Jul 14, 2010
- 21,605
- 6,092
yeye ndicho anachokitaka, lakini anataka mpaka amuumize kama yeye alivyoumia.
Unajua kuna mwanaume mwingine ni kama umemfungulia na umesema sasa endelea maana nachokiona mbele ni kudhalilishana wote na asifikiri kuwa kufanya hivyo ni fahari au anamkomoa mwanaume bali anajidhalilisha yeye mwenyewe najua hasira ndizo zinamtuma sasa hivi na sio akili yake mwenyewe. ANGALIZO: MWAMBIE MWANAMKE ISIJE IKATOKEA KATIKA KULIPIZA KISASI AKAFANYA INFIDELITY NA MEMBA WA JF PATAKUWA PATAMU HAPO