Dark City
JF-Expert Member
- Oct 18, 2008
- 16,253
- 11,626
hizi ndoa bwana nazo zinachosha, mtu unaingia tu ili mradi umeingia, cjui ndio wanasema kutoa mkoc wala cjui, mie kwa kweli imebidi niache ishu waiongelee kifamilia zaidi coz kama binti hata mama yake mzazi kamwomba mpaka kumpigia magoti acjrfanya hicho kitendo na hajakubali kubadili uamuzi wake nani mwingine atamshauri akashaurika?...na kwasasa coz hiyo kitu ipo kichwani mwake anaweza kutuitikia kwamba hatafanya lakini nani anajua rohoni mwake?....ki ujumla hii ndoa imeshavunjika tayari.
Kwa vile kaamua kurudi kwa mume wake, achaneni naye. Utashangaa baada ya mwezi anawakaribisha dinner home meno yote 32 nje. Dynamics ya maisha ni gumu sana kuileza kwa sentensi hata 100 na kwa muda wowote (iwe saa 365 au siki 365).
Bado mtoto huyo, akikua atabadilika. After all, life starts at 40!