Hata mimi nashangaa

Hata mimi nashangaa

hizi ndoa bwana nazo zinachosha, mtu unaingia tu ili mradi umeingia, cjui ndio wanasema kutoa mkoc wala cjui, mie kwa kweli imebidi niache ishu waiongelee kifamilia zaidi coz kama binti hata mama yake mzazi kamwomba mpaka kumpigia magoti acjrfanya hicho kitendo na hajakubali kubadili uamuzi wake nani mwingine atamshauri akashaurika?...na kwasasa coz hiyo kitu ipo kichwani mwake anaweza kutuitikia kwamba hatafanya lakini nani anajua rohoni mwake?....ki ujumla hii ndoa imeshavunjika tayari.

Kwa vile kaamua kurudi kwa mume wake, achaneni naye. Utashangaa baada ya mwezi anawakaribisha dinner home meno yote 32 nje. Dynamics ya maisha ni gumu sana kuileza kwa sentensi hata 100 na kwa muda wowote (iwe saa 365 au siki 365).

Bado mtoto huyo, akikua atabadilika. After all, life starts at 40!
 
kaka yangu mpenzi, mie kwa kweli cwezi kudhibitisha lolote, cna kidhibiti mana mie nafanya kupigiwa na kupewa yanayojiri huko...na cwezi kusema labda mume ni kweli kafany ila kadanganya au hajafanya binti anamfikiria vibaya, naweza sema ukweli anao mume.

Mshauri mwenzio arudi aendelee kupika na kugangamaa.
Mama zetu zamani walikuwa wanavumilia baba anaweza alale nje kwa mwanamke nyumba ya 3 hata wiki anaamka na kuchapa lapa kazini jioni anarudi kabeba nyama anaishia hapo hapo nyumba ya 3 mpaka wiki akisha mkifu ndo anakumbuka familia anarudi nyumbani na mama anampokea kwa mikono miwili uigeni mioyo ya mama zetu wa zamani uvumilivu, wanawake wa kisasa bana ndo maana mm nasita sita kutangaza nia hivi hivi maana uvumilivu ni sifuli.
 
hiyo ilikuwa enzi hizo, kwasasa na haya maradhi hapana!
 
Mama zetu zamani walikuwa wanavumilia baba anaweza alale nje kwa mwanamke nyumba ya 3 hata wiki anaamka na kuchapa lapa kazini jioni anarudi kabeba nyama anaishia hapo hapo nyumba ya 3 mpaka wiki akisha mkifu ndo anakumbuka familia anarudi nyumbani na mama anampokea kwa mikono miwili uigeni mioyo ya mama zetu wa zamani uvumilivu, wanawake wa kisasa bana ndo maana mm nasita sita kutangaza nia hivi hivi maana uvumilivu ni sifuli.[/QUOTE]

Hapana kamanda, wewe tangaza tu. Mkiwa kwenye tope wote basi hakuna wa kumcheka mwenzio. Mtapuyanga tu. Kwani utasita kutangaza hadi lini?
 
Haaaaaaa! hata mm namshangaa huyo mwanamke kwa kuwa na moyo dhaifu kiasi hicho kha!
Sometimes mi ndio maana nakuwa shabiki namba moja wa Da Sophy

Wanawake wakishakuwa na kipato/elimu kubwa wanajisahau na kutaka kuonyesha mabavu yao. which is very wrong kwenye marriage relationships!! Mwanamke anapaswa kukubali kuwa yeye ni msaidizi wa mumewe huku akikumbuka, akiamini na kukubali kuwa mwanaume hajaumbwa kwa ajili ya mwanamke mmoja tu!
 
kaka yangu mpenzi, mie kwa kweli cwezi kudhibitisha lolote, cna kidhibiti mana mie nafanya kupigiwa na kupewa yanayojiri huko...na cwezi kusema labda mume ni kweli kafany ila kadanganya au hajafanya binti anamfikiria vibaya, naweza sema ukweli anao mume.

Huyo mdogo wako ana umri gani, If I may ask.
 
hiyo ilikuwa enzi hizo, kwasasa na haya maradhi hapana!

Haya itabidi azoee tu bora kaolewa na mkristo angeolewa na Ustadh kama mm si angekufa kwa presha maana mpaka sasa nina wachumba 10 na wote wanafahamiana kikubwa ni kukuza ushindani wa pendo kwangu.
 
[/[/COLOR]QUOTE]
Hapana kamanda, wewe tangaza tu. Mkiwa kwenye tope wote basi hakuna wa kumcheka mwenzio. Mtapuyanga tu. Kwani utasita kutangaza hadi lini?[/QUOTE]

Kwa mtindo huu bora nimege mege kwanza mapaka nikiwa na over 55+ natangaza nia
 
haya itabidi azoee tu bora kaolewa na mkristo angeolewa na ustadh kama mm si angekufa kwa presha maana mpaka sasa nina wachumba 10 na wote wanafahamiana kikubwa ni kukuza ushindani wa pendo kwangu.

kweli chuda raha asikwambie mtu
 
Haya itabidi azoee tu bora kaolewa na mkristo angeolewa na Ustadh kama mm si angekufa kwa presha maana mpaka sasa nina wachumba 10 na wote wanafahamiana kikubwa ni kukuza ushindani wa pendo kwangu.

hao wachumba watakuwa wamekata tamaa ya maisha....
 
[/[/COLOR]QUOTE]
Hapana kamanda, wewe tangaza tu. Mkiwa kwenye tope wote basi hakuna wa kumcheka mwenzio. Mtapuyanga tu. Kwani utasita kutangaza hadi lini?[/QUOTE

Kwa mtindo huu bora nimege mege kwanza mapaka nikiwa na over 55+ natangaza nia

hizo mbegu zitazalisha kituko...khaa
 
hizi ndoa bwana nazo zinachosha, mtu unaingia tu ili mradi umeingia, cjui ndio wanasema kutoa mkoc wala cjui, mie kwa kweli imebidi niache ishu waiongelee kifamilia zaidi coz kama binti hata mama yake mzazi kamwomba mpaka kumpigia magoti acjrfanya hicho kitendo na hajakubali kubadili uamuzi wake nani mwingine atamshauri akashaurika?...na kwasasa coz hiyo kitu ipo kichwani mwake anaweza kutuitikia kwamba hatafanya lakini nani anajua rohoni mwake?....ki ujumla hii ndoa imeshavunjika tayari.

Nyamayao natumaini wakati anaingia kwenye ndoa magumu aliyatarajia lakini sio to this extent basi sasa ajue hiyo ndio ndoa ilivyo na siku zote kwenye kosa kaa na ongea na huyo mkosaji kama akikataa io siku nyingine utamkamata tu kwani hata ukidangaya namna gani iko siku utakamatwa tu sasa hatua anayotaka kuchukua yeye ndipo ataonekana yeye ni mjinga na mwenye makosa kuliko hata huyo mumewe maana na bashiri matokeo yake inaweza kuwa vilio na kila mtu kuchukua hamsini zake
 
yeye ndicho anachokitaka, lakini anataka mpaka amuumize kama yeye alivyoumia.
 
Hilo limdogo lako ambalo pia ni lidogo langu huko upstairs kuko vizuri?

Hebu ngoja nicheki kama kuna nafasi kule Mirembe then ntaku-call tujue la kufanya. Anahitaji tiba huyu binti. Ana matatizo makubwa sana ya Akili...:confused2::confused2:

Wakati amesimama altareni wakifunga ndoa alitamka maneno yafuatayo..."Mimi.........nakuchukua wewe...........uwe mume wangu katika shida,dhiki na raha na nitakuheshimu siku zote za maisha yangu".Sasa hapo lazima aelewe kuwa shida ndio hizo anazozipata sasa hivi na avumilie mimi ningemuona wa busara zaidi kama angepita magoti mbele ya Mungu na kumuomba ili mumewe aweze kubadilika.
 
mcyachukulie hayo maneno kihivyo sana, kila mmoja ana kifua cha kuhimili mambo, sasa hayo maneno mcyachukulie kama ndio kifungo cha maisha vile hata mfanye nini hayabadiliki, kila mmoja anayachukulia kivyake na anaweza pia kwenda kinyume chake kutokana na anavyochukulia uzito wa tatizo.
 
Back
Top Bottom