Hata mimi nashangaa

DC nashangaa mnamlaumu mwanamke... hata mie ningeondoka honestly...kwanza hana adabu kamcheat mke wake, pili he is a big liar...yaani mie na watu waongo!!! no matter what he is going to tell me I will not believe him next time...
 
...huyo mke alikuwa anaitafuta sababu tu ya kuondoka.
Ukweli gani anaoutaka wakati Mumewe keshamuapia hajui?
Ni bora mpofu wa macho kuliko mpofu wa Akili.
 
...huyo mke alikuwa anaitafuta sababu tu ya kuondoka.
Ukweli gani anaoutaka wakati Mumewe keshamuapia hajui?
Ni bora mpofu wa macho kuliko mpofu wa Akili.

hivi kumbe alivyoapa inatosheleza hata kaam mke kaona mume kaapia unafiki tu?
 
DC nashangaa mnamlaumu mwanamke... hata mie ningeondoka honestly...kwanza hana adabu kamcheat mke wake, pili he is a big liar...yaani mie na watu waongo!!! no matter what he is going to tell me I will not believe him next time...

Sorry mom, tuangalie upande mwingine wa shilingi,,,,,eeeh wewe hujawahi kuona wanawake nao wanacheat? Ama hata ww hujawahi kucheat? As I said sorry if am mistaken!
 
DC nashangaa mnamlaumu mwanamke... hata mie ningeondoka honestly...kwanza hana adabu kamcheat mke wake, pili he is a big liar...yaani mie na watu waongo!!! no matter what he is going to tell me I will not believe him next time...

...unaona sasa, "The best way to see evil is to shut the eye of reasoning!"
 
Kama kuna ukweli hatakiwi omba msamaha maana itakuwa anajiandikia hukumu ya kifo! Akomae tu

hahahaha, nimewakumbuka wanaume family... "wanaume aaaaaaa wanaume aaaaaaaah, mapanga shaaaah shaah"
 
Ni kweli inawezekana mume hajui kitu, na pia inawezekana anajua sana huyo bibie kapaki makusudi. Ila ushauri ni kwamba kukimbia ndoa kwa kumuona mumewe si muaminifu si suluhu atakimbia ndoa ngapi? kwani wanaume ndivyo walivyo they cant stand alone for more than a week believe me, hakuna mwaminifu hata mmoja labda anaye mjua Mungu kwa sana. ashukuru Mungu amekuta hata hizo kondomu kuonyesha anajali.
 
Kwa hili anashangaza.Hajatumia busara kuondoka.Na akimwambia kuwa ni kweli alizitumia hizo kondomu ndio atapona?au ataridhika?

...eti?
kakurupuka tu huyo sasa anatafuta sababu ya kumkandamiza mumewe aonekane ndio mkosa.
"Mtenda akitendewa anajihisi kaonewa." Huyu Mwanamke ameonyesha ishara kwamba si mwaminifu kivile..
 
...ha ha! hakuna mke hapo,
ingekuwa kesi yangu hii, ingekula kwake.
Eti kama namhitaji nikamchukue? kwani nilimrudisha kwao?
Atarudi mwenyewe kama anaitaka ndoa.
Kwa kumhurumia ningempa siku tatu awekesharudi,
otherwise,
kabla magharibi haijaingia awe nyumbani.
 
...eti?
kakurupuka tu huyo sasa anatafuta sababu ya kumkandamiza mumewe aonekane ndio mkosa.
"Mtenda akitendewa anajihisi kaonewa." Huyu Mwanamke ameonyesha ishara kwamba si mwaminifu kivile..

Hapo umenikumbusha mbali sana.

Huyo mwanamke inawezekana kweli kachezewa faulo ila katimua mbio badala ya kukomaa ili amalize mechi. Kwa mtindo huyo, refa anapuliza kipenga na kutoa point za chee. Jamaa kashinda mechi kiulaini. Ila huyo dada angekuwa na roho ya paka, jamaa angevaa pampers kwani hiyo sababu aliyoitoa ili ya kitoto sana.
 
...sababu ipi hiyo bro?
Binafsi siamini eti mwanaume mzima na akili zake timamu amefungua packets 3 za Condom kisha zote kazirudishia kwa begi lake la nguo, tena Hotelini/Guest House, mbali na mkewe.
 
Ni kazi kummiliki mtu jamani yani kiwe chako peke yako..mmh
Kupanic ni muhimu bali hakutakiwa kuondoka bibie na siwezi kumtupia lawama huyo jamaa..No ushahidi!
 
Ni kazi kummiliki mtu jamani yani kiwe chako peke yako..mmh
Kupanic ni muhimu bali hakutakiwa kuondoka bibie na siwezi kumtupia lawama huyo jamaa..No ushahidi!

...si ndio hapo, sasa atakimbilia kwao kwa kesi ngapi ilhali hata 'valentine day' ya pili hawajaila wala harusi haijajibu?
BJ, ukishakabidhiwa cheti cha ndoa ('kama hati ya nyumba au kiwanja') ndio ushamilishwa peke yako hivyo.
 
Ashukuru na amrudie mumewe kwakuwa katumia condom pia amfungashie condom cku nyingine akisafiri pia amhamasishe cku zote atumie condom mana akiondoka jamaa atapiga kavu kwa hofu ya kusahau kutupa ganda la condom.
 
...si ndio hapo, sasa atakimbilia kwao kwa kesi ngapi ilhali hata 'valentine day' ya pili hawajaila wala harusi haijajibu?
BJ, ukishakabidhiwa cheti cha ndoa ('kama hati ya nyumba au kiwanja') ndio ushamilishwa peke yako hivyo.

Kwanza mume karudi safari halafu anajitia detective,agrr mapenzi yataendaje sasa hapo?! au yeye alikuwa anaibia akahisi na mwenzie kafanya hivyohivyo!! Asubiri baada ya mwezi kusikia mwingine kawekwa ndani mana ye asusa wenzie wala!!

Hiyo ya kukabidhiwa peke yangu bado kabisa haijaniingia, yaani milele? inawezekana kweli Mbu?!
 
...eeehh? kwani BJ hujawahi kuona cheti cha ndoa? ni Sheikh, Padre, au msajili wa ndoa ndiye anayekukabidhi Copy yako uitunze. Kwa maana umemilikishwa Bwana fulani bin fulani awe Mume wako na Jamhuri inakutambua.
Ndio maana nikaandika hapo awali kama nyumba vile,
Hati ni yako...'ukiamua' kupangisha vyumba, Rukhsa! Utasaidiwa 'kujikimu' mahitaji madogo madogo
 
Hivyo viapo mie siviwezi, kufungiwa forever jamani!..sasa 'excitement' ikiisha utavumiliaje?nauliza tu,lol
Inahitaji moyo kwakweli, subiri namie nikabidhiwe hiyo hati siku moja nione utamu wake..::smile-big:
 
ha ha ha, eti 'excitement' ikiisha...
si ndio hapo unapopangisha vyumba vya uani 'usaidiwe?'

Siri ya kudumu kwa ndoa ni kutomchungua mwenzio, wala kuweka doubts kwa kila anachokwambia.
Kila mtu awe dereva wa mawazo yake.
 
...si ndio hapo, sasa atakimbilia kwao kwa kesi ngapi ilhali hata 'valentine day' ya pili hawajaila wala harusi haijajibu?
BJ, ukishakabidhiwa cheti cha ndoa ('kama hati ya nyumba au kiwanja') ndio ushamilishwa peke yako hivyo.

jana tumejaribu kuweka mambo sawa, binti alikuwa analia sana amesema mume amemuumiza roho sana, na hakutegema kama angeona ndoa chungu mapema hivi, lakini anashukuru pia ndoa ilikuwa bado haijajibu coz anataka na yeye kumuumiza kama alivyoniumiza, hata miaka 20 ijayo akija kugundua nitamkumbushia alivyoniumiza na nitamwambia ndio adhabu yake kwa kitendo cha kuniumiza hivi....maamuzi yangu ni kwamba "atalea watoto wa wanaume wenzie"....akija kujua mbeleni bac na mie nitakuwa nimempa maumivu yanayostahili na kuivunja ndoa milele...mie nimechoka kama nyamayao....anarudi kwake leo..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…