sblandes
JF-Expert Member
- Apr 25, 2010
- 6,980
- 4,992
Mwl.Nyerere katawala 27 years without interruptions
Aliwataka wanaokuja wachukue 10 years.
Harafu alitunga katiba bomu 1977 lakini alipoishatoka kwenye uraisi akasema ni mbaya sana.
Mtu huyo huyo alingoa mulparty politics akatawala kwa mkono wa chuma kama Stalin na chama kimmoja, lakini alipokuwa nje ya uraisi akashindikiza vyama vingi.
Wacha tuendeleze mjadala kwani akili ya kuambiwa changanya na zako.
Bashiru sio mtume wa siasa, wala sio chosa wa matarajio ya watanzania.
Katika mijadala hii labda tutaunganisha na katiba ya Warioba na mambo mengine kama ukomo wa wabunge na viti maalumu.