Hata mimi 'ningemshangaa' Mwenyekiti na Rais wangu ninayemuheshimu kama angefanya upuuzi huu

Hata mimi 'ningemshangaa' Mwenyekiti na Rais wangu ninayemuheshimu kama angefanya upuuzi huu

Kina Kibajaj
Ni nani asiyejua kuna "CCM Mpya", CCM tofauti kabisa na ile aliyoiunda Mwalimu Nyerere. Pia kuna "Tanzania Mpya" inaundwa, Tanzania ambayo Mwalimu akirudi hawezi kuitambua kuwa ndiyo nchi aliyohusika kuiasisi na kuiunda.

Tanzania ya watu wanaotakiwa kusikiliza ya mtu mmoja tu anayemiliki wanyonge.

Hayo ya kutumia jina la Mwalimu kuwahadaa watu, litakubaliwa na wanyonge tu wasiotakiwa kuhoji lolote.
 
Watu wa kubadili sana kauli hawa!! Wanahadaa sidhan kama ni busara sana kuwaamini. Wasikilize tu af bas
IMG-20200709-WA0006.jpg
 
GENTAMYCINE,

Issue iko namna hii. Urais ni taasisi naamini Nyerere, Mzee Mwinyi, Mkapa, Kikwete, Magufuli, viongozi wa dini na wa kiserikali, ndio wanaunda iyo taasisi, hivyo kutokua madarakani hakuzuii kuongoza nchi, ndio maana tunawaenzi wote waliopita kwakuwa bado wanaendelea kuongoza. Hata Leo hii nyerere anaongoza nchi hii japo kimwili hayupo.
Katika watu utoporo wewe no,1
 
KUHUSU KUNG’ATUKA KWA JPM

“ Iweje Rais Magufuli aende kinyume na wosia wa Baba wa Taifa na warithi wake. Hili la kuongeza muda, Rais Magufuli hawezi kukubali na hata CCM haiwezi kukubali…Rais Magufuli hata akishinda kwa 100%, baada ya muda wa muhula wa pili kuisha, hata ongeza hata siku moja. ” - Dkt. Bashiru Ally akizungumza na Tido Mhando wa Azam TV.
Wewe popoma ulipotea
 
Nimeingia kwenye national database ya rwnd hakuna kombinesheni ya haya majina sloth brained popoma😂😂 tukutane msimbzi jioni

Sasa kama umeshindwa tu kujua ya kwamba hapa Kwetu nilipo nchini Rwanda kuna Majina hayo ya akina Kalemera Rwigyema Mazimpaka unaweza kweli kuwa na IQ ya Kubishana na hata Kujenga Hoja nami? Yupo Mkuu wa Shirika la Ndege Rwanda jina lake linaanzia na la Kalemera, alikuwepo Kamanda wa Kijeshi mkubwa tu Rwanda aliyeitwa Rwigyema na pia alikuwepo huko nyuma Waziri wa Mambo ya nje wa Rwanda akiitwa Mazimpaka. Rudi tena huko Google na katika hiyo Database yako ukawatafute ili ujiridhishe kuwa haya Majina yote ni ya Kinyarwanda tena kutokea Kabila la Tutsi. Naendelea Kusisitiza nikiwa nakudharau hadi kukuita Mpumbavu usiwe unakataa tafadhali kwani ndivyo ulivyo.

Cc: Mmawia, mtu chake, Kipangaspecial
 
Mkuu, hiyo ni nyota gani, inapatikana wapi??!

Kwa Mtoa Nyota Mkuu ambaye ni Mwenyezi Mungu mwenyewe ambaye pia ndiyo Mungu wa Ibrahim, Isaka na Yakobo. Na hatoi kwa kila Mtu tu.
 
KUHUSU KUNG’ATUKA KWA JPM

“ Iweje Rais Magufuli aende kinyume na wosia wa Baba wa Taifa na warithi wake. Hili la kuongeza muda, Rais Magufuli hawezi kukubali na hata CCM haiwezi kukubali…Rais Magufuli hata akishinda kwa 100%, baada ya muda wa muhula wa pili kuisha, hata ongeza hata siku moja. ” - Dkt. Bashiru Ally akizungumza na Tido Mhando wa Azam TV.
Tumeshasave hii kauli ya Bashiru, tutamkumbusha siku akibadili maneno
 
KUHUSU KUNG’ATUKA KWA JPM

“ Iweje Rais Magufuli aende kinyume na wosia wa Baba wa Taifa na warithi wake. Hili la kuongeza muda, Rais Magufuli hawezi kukubali na hata CCM haiwezi kukubali…Rais Magufuli hata akishinda kwa 100%, baada ya muda wa muhula wa pili kuisha, hata ongeza hata siku moja. ” - Dkt. Bashiru Ally akizungumza na Tido Mhando wa Azam TV.
Hata Kagame alisema hivyp hivyo ila Mwenyekiti wako ni Kigeugeu alisema kazi ya urais ni ngumu sana anajuta kwanini aliomba cha kushangaza mwaka huu kachukua form peke yake!!
 
Na ndiyo maana kila mara huwa nakuita Mpumbavu halafu huwa unadhani nakuwa nakukosea Adabu. Wewe kila ukiona tu ID yangu hii ya GENTAMYCINE imepotea hapa JamiiForums Ubongo wako uliojaa Takataka Ngumu za Mwanadamu unakutuma kuwa Mimi nimepigwa BAN. Sasa leo nakusaidia kuwa sijapigwa BAN tokea Mwezi February 2020 na hata Moderators wapo hapa ni Mashahidi unaweza ukawauliza na kama Wewe ni Mmoja wao pengine ndiyo maana kila mara unataka Kuulazimisha Umma wa wana JF kuwa Mpiga BAN Mkuu unaweza ukajiridhisha nao Kiuthibitisho.

Na hakuna Sheria yoyote ile ambayo huwa inamlazimisha Member wa JF awe kila mara anakuwa Hewani ( Online ) hapa Jamvini bali unaweza ukawa unayafuatilia yote yanayoendelea hapa pasipo hata kuwa una Log In ila ni bahati mbaya sana kwa Mpumbavu Mwandamizi kama Wewe hili huwezi kulijua na unachokijua ni kwamba GENTAMYCINE asipoonekana tu hapa kwa Kuchangia basi tayari anakuwa kapigwa BAN.

Na ili kuonyesha kuwa ama kweli Nyota yangu ya Jaha ni Kali sana kiasi kwamba unanikubali hadi unachanganyikiwa nami na huenda hata ukawa unatamani kweli kweli uwe Mke wangu wa Pili ni kwamba Wewe ukiona tu nipo ama nimenzisha Uzi au nimechangia Hoja mahala ni lazima tu utajitokeza ili kuonyesha ' Kuwashawawashwa ' Kwako nami kama Jibwa Jike lenye Nyege Mshindo linalotaka Kupandwa na lisuuzike vyema.

Haya sasa kukuonyesha kuwa najiamini Leo nimeingia hapa JamiiForums ila naweza kuanzia Kesho nisionekane kwa muda tena hapa kutokana na Ratiba zangu na Michakato yangu hivyo nakuomba sasa anza Kujiandaa Kuwadanganya Wapumbavu Wenzio kuwa GENTAMYCINE nisipoonekana kuanzia Kesho basi wajue kuwa nimeshapigwa BAN. Halafu nikiwa Nawadharau mnaona nakosea. Nyota yangu ya Jaha inakutesa na itakutesa.

Cc: Kipangaspecial, Daudi Mchambuzi
Usiwepo JF unajeuri hiyo?mtu una mi ID lukuki unataka umdanganye nani..
 
GENTAMYCINE,

Issue iko namna hii. Urais ni taasisi naamini Nyerere, Mzee Mwinyi, Mkapa, Kikwete, Magufuli, viongozi wa dini na wa kiserikali, ndio wanaunda iyo taasisi, hivyo kutokua madarakani hakuzuii kuongoza nchi, ndio maana tunawaenzi wote waliopita kwakuwa bado wanaendelea kuongoza. Hata Leo hii nyerere anaongoza nchi hii japo kimwili hayupo.
Kikwete juzikati alienda Burundi kama serikali kumzika Bwana Mvunja demokrasia Nkurunzinza! Pia Mkwere alihudhuria kuapishwa Ramaphosa kama serikali! Magufuli amalize Stieglers na SGR na barabara zote na viwanda vijengwe akitoka madarakani kila mahali duniani watakuwa wakimwita kuwafundisha kusimamia serikali kisawasawa na kupiga nae picha!!

Namuona Magufuli kama mshauri wa maRais wote wa bongo watakaokuja baada yake na wengineo Afrika na duniani ,Magu ameshajijengea heshima kubwa mno duniani ni celebrity hana haja ya kusalia madarakani manake atawaachia Ikulu tu na kila siku Marais wajao watamfuata alipo awaelekeze njia bora aliyotumia kusimamisha reli!!

Magu will continue to be our Presidaa in the background/shadow kwa miaka yake yote atakayokuwa hai.
 
GENTAMYCINE,

Huyu hatakubali sawa, lakibi tutamlazimisha, na Hana choice ktk hili! Sisi ndio tunaamua siyo yy!
Mh. Rais Magufuli siyo mjinga. Hawezi kukubali kuharibiwa heshima yake na wapumbavu wachache wanafiki.

Hata kabla ya Bashiru, Magufuli mwenyewe alikwishatoa kauli mara kadhaa.

Mpumbavu akikushauri mtu mwerevu, halafu wewe mwerevu ukaukubali ushauri wake wa kipumbavu, utadharaulika.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
We ita ni upumbafu, Ila sisi tunaoitakia mema nchi yetu tunaelewa upumbafu na wapumbafu hasa ni Akina Nani! Anyway, gonna tufike daraja I!
 
Back
Top Bottom