Superbug
JF-Expert Member
- Jan 31, 2018
- 16,583
- 42,992
Atakuambia yupo canadaMkuu huwa unaleta madini. Tatizo unaleta mda tunavuta shuka kulala
Atakuambia yupo canadaMkuu huwa unaleta madini. Tatizo unaleta mda tunavuta shuka kulala
Kumekuchaaaa jf ngoja nichaji cm chifkiumbe ban lifted
Jiwe Mnafiq sana.KUHUSU KUNG’ATUKA KWA JPM
“ Iweje Rais Magufuli aende kinyume na wosia wa Baba wa Taifa na warithi wake. Hili la kuongeza muda, Rais Magufuli hawezi kukubali na hata CCM haiwezi kukubali…Rais Magufuli hata akishinda kwa 100%, baada ya muda wa muhula wa pili kuisha, hata ongeza hata siku moja. ” - Dkt. Bashiru Ally akizungumza na Tido Mhando wa Azam TV.
KUHUSU KUNG’ATUKA KWA JPM
“ Iweje Rais Magufuli aende kinyume na wosia wa Baba wa Taifa na warithi wake. Hili la kuongeza muda, Rais Magufuli hawezi kukubali na hata CCM haiwezi kukubali…Rais Magufuli hata akishinda kwa 100%, baada ya muda wa muhula wa pili kuisha, hata ongeza hata siku moja. ” - Dkt. Bashiru Ally akizungumza na Tido Mhando wa Azam TV.
Kàma kawaida enjoy wiki hii ijayo ban
Sema aliye kuwa spikaWanapingana na spika?
KUHUSU KUNG’ATUKA KWA JPM
“ Iweje Rais Magufuli aende kinyume na wosia wa Baba wa Taifa na warithi wake. Hili la kuongeza muda, Rais Magufuli hawezi kukubali na hata CCM haiwezi kukubali…Rais Magufuli hata akishinda kwa 100%, baada ya muda wa muhula wa pili kuisha, hata ongeza hata siku moja. ” - Dkt. Bashiru Ally akizungumza na Tido Mhando wa Azam TV.
Issue iko namna hii .urais ni taasisi naamini nyerere,mzee mwinyi,mkapa,kikwete,magufuli,viongozi wa dini na wakiserikali, ndio wanaunda iyo taasisi,hivyo kutokua madarakani hakuzuii kuongoza nchi,ndio maana tunawaenzi wote waliopita kwakuwa bado wanaendelea kuongoza,hata Leo hii nyerere anaongoza nchi hii japo kimwili hayupo
Mkuu huwa unaleta madini. Tatizo unaleta mda tunavuta shuka kulala
Muda. Bunge lijalo kina nani watakuwepo? Watakubaliana na hizo hoja?
Kwa sasa mipango iliyopo ni jinsi ya kuiba kura baada ya kura subiri upepo utakavyo vuma.
Nyie maccm hamnaga msimamo wowote ulio thabiti.
1: Mlituaminisha kuwa Lowasa baada ya kuhamia cdm mkasema hakuna mtu mchafu kama Lowasa, leo mwenye chama anamrudisha ccm mnaanza kumsifu na kumtukuza.
2: Kikwete wakati anaongoza mlimsifia na kumuita kuwa ni chaguo la Mungu lkn baada ya kumaliza muda wake leo hii mnamponda kuwa kwenye awamu yake hakuna kilichofanyika zaidi ya awamu ya tano.
Hamna la kutwambia nyinyi wanafiki wazee wa fuata upepo tu.
Baada ya Mwanazuoni na Katibu Mkuu wa CCM Dkt. Bashiru Ally leo kusema haya nadhani ameshaufunga rasmi huu Mjadala kwa wale Wanafiki.
Aisee hadi nimeona noma.
Watu mnafukunyua
Bahati nzuri tunajuana na uajua nitakachokufanyia kesho pure talented and charismatic fella popoma nyabenger🤣🤣🤣🤣🤣Na ndiyo maana kila mara huwa nakuita Mpumbavu halafu huwa unadhani nakuwa nakukosea Adabu. Wewe kila ukiona tu ID yangu hii ya GENTAMYCINE imepotea hapa JamiiForums Ubongo wako uliojaa Takataka Ngumu za Mwanadamu unakutuma kuwa Mimi nimepigwa BAN. Sasa leo nakusaidia kuwa sijapigwa BAN tokea Mwezi February 2020 na hata Moderators wapo hapa ni Mashahidi unaweza ukawauliza na kama Wewe ni Mmoja wao pengine ndiyo maana kila mara unataka Kuulazimisha Umma wa wana JF kuwa Mpiga BAN Mkuu unaweza ukajiridhisha nao Kiuthibitisho.
Na hakuna Sheria yoyote ile ambayo huwa inamlazimisha Member wa JF awe kila mara anakuwa Hewani ( Online ) hapa Jamvini bali unaweza ukawa unayafuatilia yote yanayoendelea hapa pasipo hata kuwa una Log In ila ni bahati mbaya sana kwa Mpumbavu Mwandamizi kama Wewe hili huwezi kulijua na unachokijua ni kwamba GENTAMYCINE asipoonekana tu hapa kwa Kuchangia basi tayari anakuwa kapigwa BAN.
Na ili kuonyesha kuwa ama kweli Nyota yangu ya Jaha ni Kali sana kiasi kwamba unanikubali hadi unachanganyikiwa nami na huenda hata ukawa unatamani kweli kweli uwe Mke wangu wa Pili ni kwamba Wewe ukiona tu nipo ama nimenzisha Uzi au nimechangia Hoja mahala ni lazima tu utajitokeza ili kuonyesha ' Kuwashawawashwa ' Kwako nami kama Jibwa Jike lenye Nyege Mshindo linalotaka Kupandwa na lisuuzike vyema.
Haya sasa kukuonyesha kuwa najiamini Leo nimeingia hapa JamiiForums ila naweza kuanzia Kesho nisionekane kwa muda tena hapa kutokana na Ratiba zangu na Michakato yangu hivyo nakuomba sasa anza Kujiandaa Kuwadanganya Wapumbavu Wenzio kuwa GENTAMYCINE nisipoonekana kuanzia Kesho basi wajue kuwa nimeshapigwa BAN. Halafu nikiwa Nawadharau mnaona nakosea. Nyota yangu ya Jaha inakutesa na itakutesa.
Cc: Kipangaspecial, Daudi Mchambuzi
Kwani kuwa mwana CCM ni Dhambi au Kosa la Jinai? Idiot Wewe!
Tangia lini na Wewe Mtu niliyekuwa ninakuheshimu hapa JF umeanza kuwa na Upuuzi huu na hizi tabia za Kiuswahili Kiuswahili Mkuu? Jitathmini!
Bahati nzuri tunajuana na uajua nitakachokufanyia kesho pure talented and charismatic fella popoma nyabenger[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Huyu nammudu Ni mshamba flan Yuko bandarini. Ni komedian wetu humu watu hufurahi kusoma nyuzi zake ila ana mkosi wa mikasi(ban) kwenye nyuzi zake zenye ukakasi.🤣🤣🤣🤣Jamaa ni mshamba sana, naona tangu atoke kwao borega bado hajajifunza kuishi na watu vyema