Hata mimi 'ningemshangaa' Mwenyekiti na Rais wangu ninayemuheshimu kama angefanya upuuzi huu

Hata mimi 'ningemshangaa' Mwenyekiti na Rais wangu ninayemuheshimu kama angefanya upuuzi huu

kwa mwonekaano JPM kashachoka anataka miaka mi5 tu amalize kazi zake ambazo kwa asilimia kubwa ziko mwisho.hizo ngonjera sijui waccm tupa kule
 
Ni nani asiyejua kuna "CCM Mpya", CCM tofauti kabisa na ile aliyoiunda Mwalimu Nyerere. Pia kuna "Tanzania Mpya" inaundwa, Tanzania ambayo Mwalimu akirudi hawezi kuitambua kuwa ndiyo nchi aliyohusika kuiasisi na kuiunda.

Tanzania ya watu wanaotakiwa kusikiliza ya mtu mmoja tu anayemiliki wanyonge.

Hayo ya kutumia jina la Mwalimu kuwahadaa watu, litakubaliwa na wanyonge tu wasiotakiwa kuhoji lolote.
 
Baada ya Mwanazuoni na Katibu Mkuu wa CCM Dkt. Bashiru Ally leo kusema haya nadhani ameshaufunga rasmi huu Mjadala kwa wale Wanafiki.

si ajabu Ikitokea Magufuli anajiongezea miaka ya utawala Dr BASHIRU atakuja kuyameza matapishi yake ya Leo!!!C.C.M na watu wake ndio wanaoisababishia nchi umaskini.
 
Labda wewe una ajenda nyingine, Nyerere anamuongoza nani leo hii? Muwacheni mzee wetu ajipumzikie kwa amani.
Mwalimu amepumzika lakini Mfumo aliouacha bado unaendesha nchi.

Kwanza ni Urais usiohojika kutokana na Katiba ya Jamhuri ya mwaka 1962.

Pili ni kuingiza Siasa na ukada jeshini baada ya maasi ya 1964, kuhakikisha kuwa viongozi wa jeshi wanakuwa watiifu kwa chama

NK ..
.
 
Labda wewe una ajenda nyingine, Nyerere anamuongoza nani leo hii? Muwacheni mzee wetu ajipumzikie kwa amani.
Nyerere yupo na anatawala katika msingi aliojenga ,kaa hapo
 
Swala la ukomo wa muhula wake Magufuli alishaliweka bayana muda mrefu sana.
 
KUHUSU KUNG’ATUKA KWA JPM

“ Iweje Rais Magufuli aende kinyume na wosia wa Baba wa Taifa na warithi wake. Hili la kuongeza muda, Rais Magufuli hawezi kukubali na hata CCM haiwezi kukubali…Rais Magufuli hata akishinda kwa 100%, baada ya muda wa muhula wa pili kuisha, hata ongeza hata siku moja. ” - Dkt. Bashiru Ally akizungumza na Tido Mhando wa Azam TV.
weka clip
 
Hata mimi nimejilazimisha tu mkuu, jamaa haeleweki
Una bahati sana kwamba umeelewa anasema nini. Mimi hata nisome bandiko lake hili mara mia, nina hakika sitaelewa kitu.
 
Mwalimu amepumzika lakini Mfumo aliouacha bado unaendesha nchi.

Kwanza ni Urais usiohojika kutokana na Katiba ya Jamhuri ya mwaka 1962.

Pili ni kuingiza Siasa na ukada jeshini baada ya maasi ya 1964, kuhakikisha kuwa viongozi wa jeshi wanakuwa watiifu kwa chama

NK ..
.
Kwa misingi hiyo ndiyo maana tunaikataa kabisa, hatupo tayari kuendelea na hiyo mifumo kandamizi
 
Back
Top Bottom