Hata mimi 'ningemshangaa' Mwenyekiti na Rais wangu ninayemuheshimu kama angefanya upuuzi huu

Hata mimi 'ningemshangaa' Mwenyekiti na Rais wangu ninayemuheshimu kama angefanya upuuzi huu

Nyie maccm hamnaga msimamo wowote ulio thabiti.

1: Mlituaminisha kuwa Lowasa baada ya kuhamia cdm mkasema hakuna mtu mchafu kama Lowasa, leo mwenye chama anamrudisha ccm mnaanza kumsifu na kumtukuza.

2: Kikwete wakati anaongoza mlimsifia na kumuita kuwa ni chaguo la Mungu lkn baada ya kumaliza muda wake leo hii mnamponda kuwa kwenye awamu yake hakuna kilichofanyika zaidi ya awamu ya tano.

Hamna la kutwambia nyinyi wanafiki wazee wa fuata upepo tu.
Na chadema si walisema lowasa Ni fisadi halafu mkasema Ni msafi sio fisadi Tena ni mtakatifu na barabara mkapiga deki(ingawa majumbani/vyumbani kwenu hampigi deki) na mkamuuzia na nafasi ya kugombea uraisi
 
Pessimistic.
Wacha ushamba wewe kulazimisha watu wakubali unachotaka wewe
tapatalk_1593965156914.jpeg
 
Wacha mkwara ya kihindi wewe mkurya

Kumbe Siku hizi Mnyarwanda tena kutoka Kabila lililobarikiwa Upeo ( Akili ) na Mwenyezi Mungu la ' Tutsi ' ni Mkurya kutoka Tanzania? Kalale tu!
 
Yaani maajabu ya TZ hata uchaguzi bado wa muhula wa pili watu wanaongelea kuongezwa muda mwaka 2025!!!! the comedy hasa
Mkuu hata Mimi linanishangaza sana hilo na huwa nafikia hitimisho kuwa ni mada za kijinga mno.
Huyo wanayemsema hofu ya uchaguzi imemjaa lakini mavuvuzela yanamhesabu kuwa keshapita na wanazungumzia 2025, kama anahakika na kushinda uchaguzi sii angekaa kimya tuu kuusubiri mbona anahangaika huku na kule na kampeni kabla ya muda, ulaghai wa taarifa na kubana wanaoonekana wapinzani wake?
 
Oooh inaonekana unampata vizuri sana
Huyu nammudu Ni mshamba flan Yuko bandarini. Ni komedian wetu humu watu hufurahi kusoma nyuzi zake ila ana mkosi wa mikasi(ban) kwenye nyuzi zake zenye ukakasi.[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Huyu nammudu Ni mshamba flan Yuko bandarini. Ni komedian wetu humu watu hufurahi kusoma nyuzi zake ila ana mkosi wa mikasi(ban) kwenye nyuzi zake zenye ukakasi.🤣🤣🤣🤣

Angalia unavyozidi Kujichoresha huku ukitafuta Sifa kuwa unanijua na Kukazania tu kuwa napigwa BAN. Hivi huna Hoja nyingine zaidi ya BAN tu? Halafu ni nani amekuambia kuwa GENTAMYCINE naogopa BAN za JamiiForums? Hivi tokea nijiunge hapa Jamvini mwaka 2013 BAN ulizoziona Wewe ni hizi tu za mwaka huu wa 2020? Je, huko nyuma nilikuwa sizipati pale nikikengeuka? Na hata nikiwa napigwa hizo BAN unazozihubiri Kutwa hapa je, umeshawahi labda kuona nikizilalamikia? Najua kuwa ID yako huwa iko ' dormant ' sana uwapo hapa kwakuwa huwa huna Hoja za Msingi kutokana na ' Upumbavu ' wako wa Kurithi hivyo unajua kabisa kuwa GENTAMYCINE ni Brand ID na kwamba nafuatiliwa mno na Wadau hapa hivyo ukijitahidi mno kuwa Unagombana au Kujibizana nami basi ID yako nawe itajulikana upesi na kupata Umaarufu. Wewe unadhani hiyo ' Signature ' yangu hapo isemayo ' Purely Talented, Charismatic Fella, Game Changer and Entertainer ' imewekwa na kubuniwa Kimakosa? Maana nzima ya hayo Maneno unayoyaona hapo ndiyo 100% ulivyo Uhalisia wangu na ninamshukuru sana Mwenyezi Mungu kwa Kuniumba na kunifanya niwe hivyo.

Cc: Mmawia
 
Punguza ushamba mkuu kamwe huwezi kulazimisha chaguo lako lipendwe na wenzako
Kumbe Siku hizi Mnyarwanda tena kutoka Kabila lililobarikiwa Upeo ( Akili ) na Mwenyezi Mungu la ' Tutsi ' ni Mkurya kutoka Tanzania? Kalale tu!
 
Punguza ushamba mkuu kamwe huwezi kulazimisha chaguo lako lipendwe na wenzako

Mimi Chaguo langu litakuwa ni Mwenyekiti Taifa na Rais wa Tanzania Ndugu Dkt. John Pombe Joseph Magufuli. Unachukia Kajinyonge Ufe kabisa!!
 
Back
Top Bottom