Hata Mitume walikuwa Waisrael / Wayahudi napata shida sana katika hili hasa kutokana na Imani yangu

Chizi Maarifa

JF-Expert Member
Joined
Jul 29, 2013
Posts
14,762
Reaction score
32,386
Makabila 12 ya Wana Israel

1. Ruben – mzaliwa wa kwanza wa Lea.

2. Simeon – mwana wa Lea.

3.Lawi/Levi – mwana wa Lea → kutoka hapa ndio anatoka Nabii Musa na Harun.

4. Yuda (Judah) – mwana wa Lea → kutoka kabila hili walitokea manabii wengi na mfalme Daudi na Suleiman.

5. Isakari (Issachar) – mwana wa Lea.

6. Zabuloni (Zebulun) – mwana wa Lea.

7. Dani (Dan) – mwana wa Bilha (mtumishi wa Raheli).

8. Naftali – mwana wa Bilha.

9. Gadi (Gad) – mwana wa Zilpa (mtumishi wa Lea).

10. Asheri (Asher) – mwana wa Zilpa.

11. Yusufu (Yusuf/Joseph) – mwana wa Raheli → alipata baraka maalum, watoto wake wawili (Efraimu na Manase) wakawa makabila mawili.

12. Benjamini – mwana wa Raheli.

Nje ya hapo sasa ndo wakaja akina Mtume Mwamposa, Mtume Mudzalifah, Mtume Nangwanda, Mtume Zembwela, Mtume Ngengemkeni n.k

Hata Waarabu wenyewe hawakuwahi kuwa na Mtume waliwatafuta hawa hawa wa Israeli na Wayahudi. Imenifikirisha sana. Kwa nini? Na je kwa nini tunawachukia Waisrael hawa wamebarikiwa na kutupa Mitume na Manabii? Nabii Mussa SAW, alikuwa Muisrael Kabila la Lawi, Mfalme Suleiman alikuwa Myahudi.

Yusufu alikuwa Muisrael. Nimewaza sana. Kwa nini? Baada ya miaka 500 ya Yesu tukaanza nasi kujibashiria Utume na baadaye miaka 2000 A.D ndo tuna akina Mwamposa, Mtume Shakashia n.k Mungu amewabariki sana Waisrael kutoka kwao ndo kila kitu katika Dini Kuu Ulimwenguni kimeanzia. Nlikuwa nawachukia sasa siwachukii tena. Nitawaheshimu na kuwakosoa kwa staha wanapokengeuka. Ila hawa akina Mtume Mwamposa hawa?wametulisha sana Matango Pori.
 
Kama kuna kosa ambalo mzazi wako alifanya ni kukuruhusu ukasome shule ya Makafir. Walikulisha kitimoto bila shaka kutoka hapo umekuwa unafikiria sana na kuikana dini yako ya kuzaliwa. Itakuwa sababu tu ya vipande vya kitimoto. Unahoji mambo ambayo hupaswi kuhoji sheikh wangu. Wabillah , laan kul fatul swanaaah lahim nasubhuaana wataallah. Kweli nakuambia wewe utakatwa kichwa kwa haya maneno yako kuelezea umma. Ungejinyamazia tu ukae nayo kwani inakupunguzia nini? Kuna ulazima wa kuwaambia watu? Kama umejifunza kitu kaa nacho unadhani wewe una fahamu dini au ilimu akhera kuliko Maimamu na Masheikh wakubwa? Mbona wao hawakosoi na hawayasemi haya kwa waumini? Utaenda motoni kwa kuwakosesha watu amani mioyoni mwao
 
Back
Top Bottom