Sina mengi ya kusema mtaa ninaokaa hapa jiji la MAKALA Panadol hazipatikani kwenye pharmacy na ukizpata bas kwa Bei kubwa kidogo nilipododosa nikaambiwa toka mech na WYDAD Vs SIMBA Hali ya dawa hiz upatkanaj wake umekuwa wa mashaka
Sasa Jana ndio kabisaa Hali n Tete zaidi kumbe marumo gallants walibeba matumain ya watu fulani fulan kupunguza machungu napo mambo Bado yakawa magumu
Ushauri tu kwa ndugu zangu
GENTAMYCINE kubali TU yaishe Simba siyo dini Wala mama yako mlango uko wazi karibu kwa mabingwa wa cafcc watarajiwa