Hata mje na thread 50 ila Yanga hii itawaumiza sana kiafya na kiakili

Hata mje na thread 50 ila Yanga hii itawaumiza sana kiafya na kiakili

Peramiho yetu

JF-Expert Member
Joined
May 25, 2018
Posts
5,303
Reaction score
14,983
Sina mengi ya kusema mtaa ninaokaa hapa jiji la Makala Panadol hazipatikani kwenye pharmacy na ukizipata basi kwa bei kubwa kidogo nilipododosa nikaambiwa toka mechi na Wydad vs Simba hali ya dawa hizi upatikanaji wake umekuwa wa mashaka.

Sasa jana ndio kabisaa hali ni tete zaidi kumbe Marumo Gallants walibeba matumaini ya watu fulani fulani kupunguza machungu napo mambo bado yakawa magumu.

Ushauri tu kwa ndugu zangu GENTAMYCINE kubali tu yaishe Simba siyo dini wala mama yako mlango uko wazi karibu kwa mabingwa wa CAFCC watarajiwa.
 
Sina mengi ya kusema mtaa ninaokaa hapa jiji la MAKALA Panadol hazipatikani kwenye pharmacy na ukizpata bas kwa Bei kubwa kidogo nilipododosa nikaambiwa toka mech na WYDAD Vs SIMBA Hali ya dawa hiz upatkanaj wake umekuwa wa mashaka

Sasa Jana ndio kabisaa Hali n Tete zaidi kumbe marumo gallants walibeba matumain ya watu fulani fulan kupunguza machungu napo mambo Bado yakawa magumu

Ushauri tu kwa ndugu zangu GENTAMYCINE kubali TU yaishe Simba siyo dini Wala mama yako mlango uko wazi karibu kwa mabingwa wa cafcc watarajiwa
Yqnga safari hii wako njema waliumia kipindi kile sasa ni wakati wao kufurahi nafurahi jana wamewakilisha nchi vyema naamini watasogea vizuri sana. Simba msimu wa pili huu sasa nao wajipange tupate mpira wenye ushindani natamani hata hivi vilabuvingine vikomae kama simba na yanga
 
Back
Top Bottom