Peramiho yetu
JF-Expert Member
- May 25, 2018
- 5,303
- 14,983
Sina mengi ya kusema mtaa ninaokaa hapa jiji la Makala Panadol hazipatikani kwenye pharmacy na ukizipata basi kwa bei kubwa kidogo nilipododosa nikaambiwa toka mechi na Wydad vs Simba hali ya dawa hizi upatikanaji wake umekuwa wa mashaka.
Sasa jana ndio kabisaa hali ni tete zaidi kumbe Marumo Gallants walibeba matumaini ya watu fulani fulani kupunguza machungu napo mambo bado yakawa magumu.
Ushauri tu kwa ndugu zangu GENTAMYCINE kubali tu yaishe Simba siyo dini wala mama yako mlango uko wazi karibu kwa mabingwa wa CAFCC watarajiwa.