Hata mkague mabegi hamtakuta tena ARV’s, kuna sindano siku hizi

Hata mkague mabegi hamtakuta tena ARV’s, kuna sindano siku hizi

Huu ugonjwa hakika ni wa kutengeneza maabara
Vipo videonge vinaitwa Prep hivi vidonge vinakusaidoa at we ukitaka kugongana na mtu mwenye +ve ..unameza baada ya game au kabla kwa siku 24 mfululizo
Acha kutuaibisha wana jf na wewe sio prep ni Post-exposure Prophylaxis (PEP).
Ni ARV hizo hizo unakunywa.
 
Typing error ...
sio typing error mkuu Ulikuwa Sawa kabisa, kuna Pre exposure prophylaxis (PREP) Hii inatumika kupunguza chance ya maambukizi kwa makundi yaliyo kwenye risk ya kupata maambukiz Mfano sex workers, wanaojidunga kwa kushare sindano n.k inatumika kabla ya tukio, na hiyo Post exposure Prophylaxis (PEP) Hii ni baada ya kujua status ya uliyekutana naye ni +ve Au umejichoma sindano kwa Bahati mbaya iliyotumika kwa mtu mwenye maambukizi ndo unatumia dawa, inatumika baada ya tukio.
 
Uganda Wao Unachomwa Kila Baada Ya Miezi 3 Syringe Moja
Wao Walianza Muda Mrefu Kidogo Mwaka Huu
Siwezi kushangaa kwani kuanzia miaka ya 80-90 Uganda waliweka wazi tatizo la maambukizi ya HIV nchini mwao na mataifa mengi yalitoa misaada kuokoa maisha.

Uganda inashirikiana na vituo vingi vya utafiti katika kutafuta dawa ya kudumu ya HIV na dawa nyingi za majaribio zinatumika Uganda. Sample za damu zinasafirishwa kwa uchunguzi lab za Ulaya, Marekani hata Israel.
 
Uganda Wao Unachomwa Kila Baada Ya Miezi 3 Syringe Moja
Wao Walianza Muda Mrefu Kidogo Mwaka Huu
Acheni kujiongopea ....hayo mambo yanafanyiwa research nyie munayaleta in VIVO.....hakuna nchi inayotumia ARV za kuchoma duniani.
ARV zote ni za kumeza kidonge kila siku.
Uwezekano wa kuanza inaweza kua 2040 huko....
 
Trials zilianza 2018 na walisema itakua na lasting period ya miezi 12 baadae walisema miezi 6. Marekani wameanza kutumia ya miezi sita kwa waliofibaza wadudu. Licence ya Ulaya ni miezi miwili inagawa imeanza kutumika kwa wenye matatizo ya akili wanaosahau kunywa dawa.
 
Hapa bongo watu wanasherehekea kama mazuzu kwa jambo litakaloanza 2040
 
Back
Top Bottom