sio typing error mkuu Ulikuwa Sawa kabisa, kuna Pre exposure prophylaxis (PREP) Hii inatumika kupunguza chance ya maambukizi kwa makundi yaliyo kwenye risk ya kupata maambukiz Mfano sex workers, wanaojidunga kwa kushare sindano n.k inatumika kabla ya tukio, na hiyo Post exposure Prophylaxis (PEP) Hii ni baada ya kujua status ya uliyekutana naye ni +ve Au umejichoma sindano kwa Bahati mbaya iliyotumika kwa mtu mwenye maambukizi ndo unatumia dawa, inatumika baada ya tukio.