Hata mkague mabegi hamtakuta tena ARV’s, kuna sindano siku hizi

Hata mkague mabegi hamtakuta tena ARV’s, kuna sindano siku hizi

[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Fole tehena mnduu
Hai ombe keta du fole ambuo Lila ihumba leikaiye havivi muno,,, ambura niradunga na kunoniwa Mira nikarepate nafathi katwe ya kudenganya ilo ihumba yeto kitagwa avae[emoji2957][emoji2957]

Sent from my CPH1933 using JamiiForums mobile app
 
Maendeleo ya tiba ni kuwa unaweza kuchomwa sindano itakayo dhibiti wadudu humo mwilini na huhitaji kubugia yale madonge kila siku.

Taarifa hii imetolewa rasmi siku ya lile gonjwa 01/12/ ya kila mwaka. Maendeleo haya yako kule wanakotutumia ARV’s kwa msaada.
Dawa ni kwenda kupima na kucheki afya inatosha
 
sio typing error mkuu Ulikuwa Sawa kabisa, kuna Pre exposure prophylaxis (PREP) Hii inatumika kupunguza chance ya maambukizi kwa makundi yaliyo kwenye risk ya kupata maambukiz Mfano sex workers, wanaojidunga kwa kushare sindano n.k inatumika kabla ya tukio, na hiyo Post exposure Prophylaxis (PEP) Hii ni baada ya kujua status ya uliyekutana naye ni +ve Au umejichoma sindano kwa Bahati mbaya iliyotumika kwa mtu mwenye maambukizi ndo unatumia dawa, inatumika baada ya tukio.
😂😂😂😂 7ve
 
Back
Top Bottom