Hata Mkiniona Bwege, Lakini Haitokaa Itokee Nifanye Huu Ujinga..!!

Hata Mkiniona Bwege, Lakini Haitokaa Itokee Nifanye Huu Ujinga..!!

Demu Anakaa Sinza Mi Nakaa Kigogo
Uswahilini..Namuomba Tuje Tupige Kwichi
Kwichi...Hapo hapo Nae Ananigeuza Mtaji....
Nitumie Nauli Ya Kuja Daladala Zimeisha Huku...
Shingapi???
Tuma 30,000 Nimeishaita Usafiri... Yani Sinza Mpaka Kigogo Nauli Elfu 30,000 Kwani
Unakuja Na Fastjet?? Au Bajaji Yako Inatumia Uzima
Wa Milele...SHENZI..Hiyo elfu 30,000 Nitamnunualia
Babangu Nguo Atanibariki Kishenzi...Sadaka natoa
buku...Uchi ninunue kwa 30,000..si kujitakia laana
huku
Ukiwa kwenye papuchi marathon ubahili weka pembeni mzeee utaishia kula vibudu tu[emoji12]
 
kama hamna pesa mnangaika na wanawake wa nini?
 
Achana nao mkuu fanya mambo mengine tuu.

ila MUNGU anawaona.
 
30000 USWAZI UNAMNUNULIA DEMU VICHWA VYA KUKU ,,,,MIGUU NA UTUMBO,,UNAKULA UGALI WA KWAKE NA PAPUCHI UNAGONGA NA SODA ATAKUNYWA NA CHENJI NZURI TU UNABAKI,,,HUYO ALITAKA NA MAKATO YA SALUNI,,,PERFUME NA BIKINI.
LINAITWA "SOKO HURIA"
 
DadeQ alafu kumbe bora uchukue demu wa uswazi tu, hawana makuu, simu yenyewe anatumia G-TIDE ya tochi, hajjui hata kama kuna kitu kinaitwa wasapu...hahah
 
Hahaha...bro unashindana na wakata kodi wa kudumu! !TRA huwa wanasaidia tu ila wakudumu ndiyo hao
 
Mkinizingua mi Nawachana tu, siangalii sura
1474632623144.jpg
 
Namfikiria huyo demu wako atakuwa wa aina gani, utakuwa unachapiwa wewe hadi basi, punguza mkono wa birika
 
Back
Top Bottom