jerrysonkiria
JF-Expert Member
- Sep 5, 2014
- 2,228
- 2,901
Namna hiyo mkubwaAu unaandaa plan za kumgonga alafu unamtema
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Namna hiyo mkubwaAu unaandaa plan za kumgonga alafu unamtema
Mademu wapo ili watongozwe mkuu, alafu ni kosa kubwa sana kwa mwanaume kujishusha hadhi kwa mwanamke.Tuache kulalamika sana jamani, hivi huyo mwanamke alikutongoza yeye au wewe ndo ulijipeleka jombaa?kwani huko kigogo hakuna hao wanawake?Nakushauri tafuta wa saizi yako hao wa sinza achia kina papaa wewe kula dagaa
Kwani inayoshughulika kwa bed ni pesa?kama hamna pesa mnangaika na wanawake wa nini?
Kwahivyo......Demu Anakaa Sinza Mi Nakaa Kigogo
Uswahilini..Namuomba Tuje Tupige Kwichi
Kwichi...Hapo hapo Nae Ananigeuza Mtaji....
Nitumie Nauli Ya Kuja Daladala Zimeisha Huku...
Shingapi???
Tuma 30,000 Nimeishaita Usafiri... Yani Sinza Mpaka Kigogo Nauli Elfu 30,000 Kwani
Unakuja Na Fastjet?? Au Bajaji Yako Inatumia Uzima
Wa Milele...SHENZI..Hiyo elfu 30,000 Nitamnunualia
Babangu Nguo Atanibariki Kishenzi...Sadaka natoa
buku...Uchi ninunue kwa 30,000..si kujitakia laana
huku
Hivi.....Haya mapenzi naona yanakuzingua sana nakushauri uachane nayo na ufanye mambo mengine
Watu wanalipiwa fly emirates tena first class na ni papuchi sasa wewe elfu 30 unaifanyia promo?