Hata Mkiniona Bwege, Lakini Haitokaa Itokee Nifanye Huu Ujinga..!!

Hata Mkiniona Bwege, Lakini Haitokaa Itokee Nifanye Huu Ujinga..!!

Tuache kulalamika sana jamani, hivi huyo mwanamke alikutongoza yeye au wewe ndo ulijipeleka jombaa?kwani huko kigogo hakuna hao wanawake?Nakushauri tafuta wa saizi yako hao wa sinza achia kina papaa wewe kula dagaa
Mademu wapo ili watongozwe mkuu, alafu ni kosa kubwa sana kwa mwanaume kujishusha hadhi kwa mwanamke.

Hakuna mkate mgumu mbele ya chai
 
Hahaha...bro unashindana na wakata kodi wa kudumu! !TRA huwa wanasaidia tu ila wakudumu ndiyo hao
Aisee agiza miguu ya kuku ya jero nakuja kulipa... Hahhaha
 
Zamaniiii.......
Kipindi kile nikingali bado fukara, niliwahi kujiapiza kwa maneno kama haya.
Siku nilipo anza kuzipata, weee.......
haki niliyo yafanya hayaku fanana hata kwa robo ya vile nilivyo jiapiza miaka ileeee......
Kumbe kweli umasikini ni m-baya sana aiseee...
 
Demu Anakaa Sinza Mi Nakaa Kigogo
Uswahilini..Namuomba Tuje Tupige Kwichi
Kwichi...Hapo hapo Nae Ananigeuza Mtaji....
Nitumie Nauli Ya Kuja Daladala Zimeisha Huku...
Shingapi???
Tuma 30,000 Nimeishaita Usafiri... Yani Sinza Mpaka Kigogo Nauli Elfu 30,000 Kwani
Unakuja Na Fastjet?? Au Bajaji Yako Inatumia Uzima
Wa Milele...SHENZI..Hiyo elfu 30,000 Nitamnunualia
Babangu Nguo Atanibariki Kishenzi...Sadaka natoa
buku...Uchi ninunue kwa 30,000..si kujitakia laana
huku
Kwahivyo......
Hiyo 30 elfu, kwako ni pesa nyingi sana...[emoji5] [emoji5]
Nauliza tu mkuu,
Usiniponde mawe,
[emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125]
 
unastahili bia kijana [emoji481] [emoji481] [emoji481]
 
Back
Top Bottom