[emoji1] [emoji1] [emoji1]Mange kimambi wewe utabaki bila mume hata kama selikar ya kidunia itatulazimisha tuoe wanawake kumi kumi
Iv kweli kuna mwanaume jasir wa kwenda kumuoa mange kimambi?
Yaan ukiwa umelala unatakiwa uwe umelala huki umevaa nguo zote maana ukilala uchi utapigwa picha na kuchukuliwa video siku tu mkigombana inarushwa inster
Kuna wanawake ni majiwe kushinda hata jiwe lenyewe
Wewe mange kimambi ni jiwe kumshinda hata jiwe wa chato
Mange ni jiwe kweli kweli
LONDON BOY
ah jiwee nakuogopa!![emoji1] [emoji1] [emoji1]
Jivike bomu ww London Boy uchukue mzigo huo kwa jumla sabab ww ushajua vya kuishi nae [emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38]Mange kimambi wewe utabaki bila mume hata kama selikar ya kidunia itatulazimisha tuoe wanawake kumi kumi
Iv kweli kuna mwanaume jasir wa kwenda kumuoa mange kimambi?
Yaan ukiwa umelala unatakiwa uwe umelala huki umevaa nguo zote maana ukilala uchi utapigwa picha na kuchukuliwa video siku tu mkigombana inarushwa inster
Kuna wanawake ni majiwe kushinda hata jiwe lenyewe
Wewe mange kimambi ni jiwe kumshinda hata jiwe wa chato
Mange ni jiwe kweli kweli
LONDON BOY
Hata huyoWhy mfano utaje MangeKimambi usimtaje Joyce Kiria?
Aisee kwahiyo wale wanaomtumia mapicha picha ya waume zao huwa anawaona kama wapuuzmange hana upuuzi huo unaofikiria. yeye mwneyewe alishasema mambo yake yake ya kifamilia hawezi akayaanika mitandaoni. kwani unadhani yuko hivyo hvyo hana wa kum'care?