Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwani yule dada yako aliefeli form 4 kashaolewa???Mange kimambi wewe utabaki bila mume hata kama selikar ya kidunia itatulazimisha tuoe wanawake kumi kumi
Iv kweli kuna mwanaume jasir wa kwenda kumuoa mange kimambi?
Yaan ukiwa umelala unatakiwa uwe umelala huki umevaa nguo zote maana ukilala uchi utapigwa picha na kuchukuliwa video siku tu mkigombana inarushwa inster
Kuna wanawake ni majiwe kushinda hata jiwe lenyewe
Wewe mange kimambi ni jiwe kumshinda hata jiwe wa chato
Mange ni jiwe kweli kweli
LONDON BOY
Fact!'Jitu' linatukana mitusi ya hovyo namna ile nani aoe labda "mbow,"
HahahahaTema mate chini, Mange ana mume wa ndoa kabisa. Above all na watoto!!!
Naona jamaa yuko gizaniAshapewa taraka mkuu kitambo sana
Mange huyu huyu?mange hana upuuzi huo unaofikiria. yeye mwneyewe alishasema mambo yake yake ya kifamilia hawezi akayaanika mitandaoni. kwani unadhani yuko hivyo hvyo hana wa kum'care?