Hata mkitulazimisha tuoe wake wawili lakin tu wengine watabak bila waume mfano MANGE KIMAMBI

Hata mkitulazimisha tuoe wake wawili lakin tu wengine watabak bila waume mfano MANGE KIMAMBI

Mpige chabho akiwa chooni anakata gogo. Mpige picha.
 
Mange kimambi wewe utabaki bila mume hata kama selikar ya kidunia itatulazimisha tuoe wanawake kumi kumi

Iv kweli kuna mwanaume jasir wa kwenda kumuoa mange kimambi?

Yaan ukiwa umelala unatakiwa uwe umelala huki umevaa nguo zote maana ukilala uchi utapigwa picha na kuchukuliwa video siku tu mkigombana inarushwa inster

Kuna wanawake ni majiwe kushinda hata jiwe lenyewe

Wewe mange kimambi ni jiwe kumshinda hata jiwe wa chato

Mange ni jiwe kweli kweli

LONDON BOY
Kwani yule dada yako aliefeli form 4 kashaolewa???
 
Nenda ukale ugali wa shikamoo, ujambe, ukanye ulale
Stupid mindset
 
Kila shetani na mbuyu wake. Yuko mwanaume ambaye Mange hasemi chochote.
 
Back
Top Bottom