Hata mkitulazimisha tuoe wake wawili lakin tu wengine watabak bila waume mfano MANGE KIMAMBI

Beira Boy

JF-Expert Member
Joined
Aug 7, 2016
Posts
19,976
Reaction score
32,195
Mange kimambi wewe utabaki bila mume hata kama selikar ya kidunia itatulazimisha tuoe wanawake kumi kumi

Iv kweli kuna mwanaume jasir wa kwenda kumuoa mange kimambi?

Yaan ukiwa umelala unatakiwa uwe umelala huki umevaa nguo zote maana ukilala uchi utapigwa picha na kuchukuliwa video siku tu mkigombana inarushwa inster

Kuna wanawake ni majiwe kushinda hata jiwe lenyewe

Wewe mange kimambi ni jiwe kumshinda hata jiwe wa chato

Mange ni jiwe kweli kweli

LONDON BOY
 
[emoji1] [emoji1] [emoji1]
 
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
 
Mange kimambi wewe utabaki bila mume hata kama selikar ya kidunia itatulazimisha tuoe wanawake kumi kumi

Iv kweli kuna mwanaume jasir wa kwenda kumuoa mange kimambi?

Yaan ukiwa umelala unatakiwa uwe umelala huki umevaa nguo zote maana ukilala uchi utapigwa picha na kuchukuliwa video siku tu mkigombana inarushwa inster

Kuna wanawake ni majiwe kushinda hata jiwe lenyewe

Wewe mange kimambi ni jiwe kumshinda hata jiwe wa chato

Mange ni jiwe kweli kweli

LONDON BOY
Jivike bomu ww London Boy uchukue mzigo huo kwa jumla sabab ww ushajua vya kuishi nae [emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38]
 
mange hana upuuzi huo unaofikiria. yeye mwneyewe alishasema mambo yake yake ya kifamilia hawezi akayaanika mitandaoni. kwani unadhani yuko hivyo hvyo hana wa kum'care?
 
Aisee kwahiyo wale wanaomtumia mapicha picha ya waume zao huwa anawaona kama wapuuz
 
Simba wa porini anapigwa miti itakuwa mangeee asee!
 
Back
Top Bottom