Bird Watcher
JF-Expert Member
- Aug 19, 2013
- 4,614
- 9,689
Mkuu, hakuna mbunge wa CCM anaweza kuongelea hilo. Ulimsikia mbunge yeyote akizungumzia kauli ya kijinga ya Waziri wa Ujenzi Kadosa kuwa anafikiria kuweka tozo ya barabara wakati tozo ya namna ipo kupitia road toll?Wakuu, Mradi wa SGR Upande wa Ticketing ni kama tumefeli hivi,
Website ya SGR ni Iko down tangu Jana na muda wote train kwa ordinary seats zimejaa zipo Zile za Bei Tu, Juzi kuna Mbunge ame raise concern kuhusu issue hio na Kuhoji kama kuna Hujuma zinaendelea Kwenye Mradi Huo lakini Majibu hayakurithisha!!
Je ni kweli tumeshindwa Kuendesha Mradi wa SGR? Basi tutafute wazabuni watusaidie Kuendesha kaka mlivo kwa BRT
Viongozi ndiyo wanamiliki maBUS unatarajia hizo seats za Daraja la chini ziwe wazi?Wakuu, Mradi wa SGR Upande wa Ticketing ni kama tumefeli hivi,
Website ya SGR ni Iko down tangu Jana na muda wote train kwa ordinary seats zimejaa zipo Zile za Bei Tu, Juzi kuna Mbunge ame raise concern kuhusu issue hio na Kuhoji kama kuna Hujuma zinaendelea Kwenye Mradi Huo lakini Majibu hayakurithisha!!
Je ni kweli tumeshindwa Kuendesha Mradi wa SGR? Basi tutafute wazabuni watusaidie Kuendesha kaka mlivo kwa BRT
No hurry in AfricaWakuu, Mradi wa SGR Upande wa Ticketing ni kama tumefeli hivi,
Website ya SGR ni Iko down tangu Jana na muda wote train kwa ordinary seats zimejaa zipo Zile za Bei Tu, Juzi kuna Mbunge ame raise concern kuhusu issue hio na Kuhoji kama kuna Hujuma zinaendelea Kwenye Mradi Huo lakini Majibu hayakurithisha!!
Je ni kweli tumeshindwa Kuendesha Mradi wa SGR? Basi tutafute wazabuni watusaidie Kuendesha kaka mlivo kwa BRT
adi ubinafsishwe,serikali kufanya biashara ni kitu ngumu sana,mali ya umma hainaga uchungu,wabongo ni wezi sanaWakuu, Mradi wa SGR Upande wa Ticketing ni kama tumefeli hivi,
Website ya SGR ni Iko down tangu Jana na muda wote train kwa ordinary seats zimejaa zipo Zile za Bei Tu, Juzi kuna Mbunge ame raise concern kuhusu issue hio na Kuhoji kama kuna Hujuma zinaendelea Kwenye Mradi Huo lakini Majibu hayakurithisha!!
Je ni kweli tumeshindwa Kuendesha Mradi wa SGR? Basi tutafute wazabuni watusaidie Kuendesha kaka mlivo kwa BRT
Umeongea point abiria wa hizo seat ndio wale wa mabasi ya akina nanihiiViongozi ndiyo wanamiliki maBUS unatarajia hizo seats za Daraja la chini ziwe wazi?
Wataje tu....Shabiby, Ester, Abood, Kimbinyiko,.......! Orodha ni ndefu.Umeongea point abiria wa hizo seat ndio wale wa mabasi ya akina nanihii
Na hapo December ya kusafiri imekaribia, so wanaweka mazingira ya gari zao kupiga mshindo mrefu wa pesa.Wataje tu....Shabiby, Ester, Abood, Kimbinyiko,.......! Orodha ni ndefu.
Treni linaenda tupu linarudi tupuViongozi ndiyo wanamiliki maBUS unatarajia hizo seats za Daraja la chini ziwe wazi?
Treni linaenda tupu lakini ukiulizia tickets unaambiwa zimejaa.Treni linaenda tupu linarudi tupu
linapiga misele!