Zurie
JF-Expert Member
- Jul 6, 2014
- 2,012
- 5,571
Tuanze na Quote ya Tom Ford kwanza "Dressing well is a form of good manners".
ACT- Wazalendo wamejipanga kusuuza nyoyo zetu tunaopenda Mitindo. Najua mtasema nguo zinawasaidia nini wagombea? Maybe haziwasaidii lakini kongole lazima wapate.
I am not too political hivyo hata nikiangalia mgombea huwa kuna vitu naangalia zaidi ya Sera sijui Ahadi n.k. Actually ACT wako makini! Ni chama kinachochipukia, ni chama kipya kuliko vyote lakini wako organized. Matamko yao huwa yanaeleweka, wako organized unlike vyama vingine hususani vya upinzani tena vikongwe.
Sasa tuje kwenye mavazi. Maalim Seif, Membe, Zitto...they all look Mwaaahh! Perfect Designs, they look like they mean business. Wamependeza lakini sio kihuni at all! They look like you can introduce them to your father na akawaelewa!
Ningependa pia kumpongeza anayeshughulikia suala la picha kwa ACT. JOB WELL DONE!
All the best katika kampeni.
Ni aina ya mdada ambaye nikikutana naye nje ya washroom namuomba anishikie handbag yangu! Trustworthy!

Mnataka kukabidhiwa nchi, you might as well look like it!
Sitosema lolote, nisionekane nimetumwa!
Ni aina ya mdada ambaye nikikutana naye nje ya washroom namuomba anishikie handbag yangu! Trustworthy!
Kuna upoaji flani hivi unakuwa nao ukijua umependeza
They look like they mean business, like how they should!
Kucheza na rangi muhimu, white means clean, pure and angelic!
Namna hii!