Hata msipotwaa urais, ACT-Wazalendo mmefunika wote 'kifashoon'

Hata msipotwaa urais, ACT-Wazalendo mmefunika wote 'kifashoon'

Mkuu, kama unataka ligi za kisiasa umepotea jukwaa.

ACT haina mashabiki zaidi ya hao unaowalinganisha nao. ACT bado chama kichanga wameanza juzi tu bado sana kutoboa especially kitaifa.

Hapa nimesifia mavazi. Kitu ambacho hata hao wanaotrend wangeweza kufanya kwa funds walizo nazo.

Sina energy ya malumbano ya kisiasa sijui followers. Kama una waliopendeza zaidi walete tuanze ligi ila habari za followers sijui nini nisamehe tu.
Siyo malumbana ni katika kuweka kumbukumbu vizuri, naona watu wanaponda sare za vyama vingine ambavyo wew unasema vina mashabiki kwa kuwa ni vya muda mrefu, je mashabiki au wafuasi wao waliwapendea mavazi?
 
Kitakachoisimamisha ACT ni consistence na siyo sare, wasimamie wanachokiamini kwa muda mrefu hadi watu wawaweke kwenye nyoyo zao na wasiingie kwenye mtego wa kuyumbayumba.
 
Kitakachoisimamisha ACT ni consistence na siyo sare, wasimamie wanachokiamini kwa muda mrefu hadi watu wawaweke kwenye nyoyo zao na wasiingie kwenye mtego wa kuyumbayumba.

ACT ni chama makini sana. Wafuatilie utajionea. Huwezi pata kura kwa mavazi lakini mavazi yako yanaonesha wewe ni mtu wa namna gani.
 
Siyo malumbana ni katika kuweka kumbukumbu vizuri, naona watu wanaponda sare za vyama vingine ambavyo wew unasema vina mashabiki kwa kuwa ni vya muda mrefu, je mashabiki au wafuasi wao waliwapendea mavazi?

Kumbukumbu gani zinawekwa vizuri? Kumbuka hapa duniani kuna wanaofuata njia ambazo tayari zimechongwa na kuna wanaochonga njia zao wenyewe
 
ACT ni chama makini sana. Wafuatilie utajionea. Huwezi pata kura kwa mavazi lakini mavazi yako yanaonesha wewe ni mtu wa namna gani.
Mbona unapiga kampeni tena!!
 
Nakubaliana na 'hoja'. Kwa kweli wanapendeza. Nimemkumbuka Mzee Seif na ile suti yake kubwa....

Hongereni ACT - Wazalendo. Mmejipanga vizuri.

.....sina uhakika tu pesa zinatoka wapi! Tutajua baadae.
 
Back
Top Bottom